Twitter Facebook Feed

ZONGO NI NINI

JINSI YA KUMTOA MTU UCHAWI WA ZONGO

Zongo ni aina ya uchawi wa kijinga na mwepesi kabisaaa kufanyiwa,uchawi huu hupendwa sana na wachawi wa mikoa ya Tanga na morogoro sehemu za Turiani na baadhi ya sehemu za mombasa,yaani huku uchawi huu ndiyo nyumbani kwao.


Wachawi wafanyaji wa uchawi huu huweza kukuathiri kwa kukuangalia tuu usoni na kukuminyia jicho utavimba tumbo na kuumwa sana au akaangalia chakula chako na akakibinyia jicho kama kipo jikoni hakiivi abadan hata kikae kutwa nzima jikoni na hata watakaokula wataumwa sana matumbo na kuvimbiwa wakati mwingine hadi kupelekea kifo,wakati huo ni lazima mchawi huyo awe ana hirizi ameivaa mwilini mwake sehemu za mabega,kiunoni au popote mwilini mwake  wakati anakuangalia na kukuminyia jicho au kukiminyia jicho chakula chako anapeleka mkono na kuiminya hiyo hirizi basi hapo athari zake zinakuvaa faster km upepo


Pia wanautumia uchawi huu katika kuyaroga hata mazao yaliyopo shambani yasiweze kukua na kustawi vyema au kama umeanika mahindi ,mpunga au zao lolote akipita mchawi wa aina hii ya uchawi na akakipiga zongo utakuta kimeoza ghafla na wadudu wamejaa


Nilipotembelea kijiji cha njungwa niliweza ona jinsi wazee wa kule uchawi huu walivyofanya ni kitu cha kawaida mpaka kufikia wanafanya mashindano kutupiana kwenye pombe wakati wapo kilabuni wanakunywa na kucheka yaani kama mchezo vilee.


Wana kawaida pia za kutumiana uchawi wa bundi mtu sana sana ukiwa ni mgeni unakaribishwa kwa style hiyo hata mm pia nilikutana na hiyo hali..turudi kwenye mada yetu


JINSI YA KUMTOA MTU UCHAWI WA ZONGO

Dalili za aliyepigwa zongo
~Kujaa tumbo
~Kupumua kwa shida
~Kukosa choo
~Kuumwa sana tumbo na ukienda chooni unatoa upepo tuu na hupati choo

Ikiwa wamekupata fanya hivi.


Vijiwe vidogo7 na yai 1


Tia maji safi kwenye sifuria au bakuri na hvyo vijiwe


Pasua yai kwa kulifikichafikicha kwenye maji hayo na livuruge mpaka upate povu


Chota kidogo anywe na.yanayobaki mpige nayo tumboni mara7 na umzungushie vijiwe hivyo tumboni kimoja baada ya kingine


Dawa itakayobaki imwage muache akalale akiamka ameshapona


Tiba ya pili

Kama mtu ametegewa Uchawi katika chakula au maji na akala au akanywa, basi chukua majani ya Mbaazi uliofikia mwaka mmoja au zaidi pamoja na mizizi ya Mtula na Mizizi ya Mbaazi kisha changanya pamoja  chemsha vizuri.

Kunywa glasi moja asubuhi na jioni kwa muda wa siku tatu.  Majani ya Mbaazi utayaponda na utachanganya na maji na kunywa glasi moja kila siku.  Tiba hii inafaa vilevile kwa mtu aliyelogwa uchawi wa zongo na tumbo likavimba.

Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 whatsapp coll sms
Tanga Pangani


0 comments:

Post a Comment