Twitter Facebook Feed

MARADHI YA KUANGUKA CHOON


Maradhi haya hutokana na majini ama wanaadamu. na majini ndiyo wameshika maradhi haya kwa kiwango kikubwa sana. mfano tumefunzwa kwamba tunapoingia chooni tuseme


Allahumma inniy audhu bika minal hubuth wal habaaith

swali: hubuth na habaaith ni nini?

jibu ni majini mke na mume ambao maisha yao ni kuishi katika vyoo.

majini hawa huitwa Ummu Subiani majini aina hii husababisha maradhi ya kupooza na ndipo utagundua kuwa 90% ya waangukao chooni watapata maradhi ya kupooza sababu ya ummu subian hawa ni majini wasumbufu sana.

TIBA

Dalili ya mtu ambaye ana jini mahaba aina ya Ummu Subian

1) mwanamke kukosa hedhi

2)  kukaa chooni muda mrefu bila sababu

3)  kupenda kujitazama kwenye kioo

4)  sura kuwa na mikunjo ya kiutu uzima au kizee

5)  kuota unafanya jimai na watu wazima mara kwa mara

6)  kuto penda kuongea na watu wa rika lako ila wazee

7) kutopenda manukato

8)  kuto hitaji ndoa na kuazimia kufunga ndoa na watu wazima bila mafanikio hizi ni baadhi tu ikiwamo kuto penda manukato.

Iwapo Ummu subian uliye naye si mahaba kwako basi utakuwa na tabia ya baridi mwilini kama mtu mwenye bone GOUT au RHEUMATISM mana mwili huwa na ganzi sana pamoja na maumivu ya viungo.


Tiba yake kwanza umsomee mgonjwa

HASANTU NAFSIY BIL HISWNI LLADHII LAA ILAAHA ILLA LLAAH WABAABUHU MUHAMMAD RASUULU LLAAH WAHAITWAANUHU SALAAMUN QAULA MIN RABBI RAHIYM WASUQFUHU JAA A L HAQU WAZAHAQA L BAATWILA INNA L BAATWILA KAANA ZAHUUQA. x21

kisha umfanyie visomo viitwavyo MUHLIKAAT. yani aya za maangamizo. ndipo umtoe jini huyu mkorofi. lakini ukikosea kanuni itakuwa mchezo ule wa maigizo ya kusema katoka na kisha kurudi tena.

DAWA ZA KULA

1 > kaamun as wad

2 > hulba

3 > sufa

4 > habat sauda


kama alikwisha strock basi aongezewe kuchua mafuta ya

1} mafuta ya kenge

2} mafuta ya khardal

3} mafuta ya thaum

4} mafuta ya habat sauda

siku 45 hadi 90 atakuwa amepona In shaa Allah wabillahi taufiq kwa leo naishi hapa

Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll sms
0655729439 WhatsApp coll sms
Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment