Twitter Facebook Feed

DALILI ZA KUA UNA UCHAWI AU MAJINI MWILINI

A salaam aleykum

Nduguzangu tumesoma masomo mengi ya kuondoa nuksi mikosi tiba za majini uchawi lakini watu wanaleta maswali inbox kuwa ili ujijue umerogwa ni kwa dalili zipi ili ujijue una jini mbaya au mzur ni kwa dalili zipi leo nimewaletea somo la dalili za uchawi na majini kwa ufupi nikianza na

DALILI ZA MWENYE KUSIBIWA NA MAJINI

1 Kuota ndoto za jimai Mara kwa Mara

2 Kuota ndoto za ujauzito Mara kwa Mara

3 Kunyonyesha au kujifungua

4 Kuota unakimbia na kupaa au kuelea angani

5 Kuota una shambuliwa au kufukuzwa na wanyama wakali

6 Kuota majoka

7 Kutopenda kukaa na watu, kupenda kuwa peke yako

8 Kulala hivyo ama kukosa usingizi bila sababu za msingi

9 Maumivu makali ya kichwa yasiyo sikia dawa hospital

10 Kuwa na ganzi bila sababu za msingi

11 Kuota kufa kufa au kuzikwa

12 Kuota watu walio kufa zamani

13 Kuwa na Maumivu ya kuhama hama

14 Kuota watu wa ajabu, warefu sana IMA wafupi sana

15 Kuchukia manukato ima kutopenda usafi

16 Kuumwa macho,meno, sikio bila sababu za msingi

17 kupatwa michubuko au Maumivu makali ufanyapo jimai

18 Kuchukia jimai

19 kukasirika hovyo hovyo

20 kukosa amani unapo kaa,kuhisi watu nyuma hali hawapo

21 kutokewa na watu njiani na kukupote

22 kuwa na mwili wa kustuka stuka ima kusisimka

23 kukosa hedhi au kupata bila mpangilii

24 Kuchezwa vitu tumboni kama mjamzito

25 Kuwa unavimba,kuwasha,kuumwa maziwa kama mjamzito

26 Kuwa na mwili unawaka moto ima barafu mwilini

27 Kusikia kama upepo unavuma masikioni

DALILI ZA MWENYE KUROGWA AU NYUMBA INAYO WANGIWA

1 Kusikia kama miguu ya watu wanatembea nje

2 kuwa na tabia ya milango kugongwa na hakuna mtu anagonga

3 Kusikia sauti za watu wanaogea nje na hakuna mtu

4 kuwa na vitimbi ndani ya nyumba

5 kuwa na vitu vinatembea mwilini

6 kutetemeka mwili upande mmoja kama kiharusi

7 Kusikia kama mchanga umemwagwa juu ya bati

8 Kusikia kama kishindo juu ya bati


9 Kusikia milio ya wanyama wakilia kiajabu ajabu

10 kuwa na ugonjwa usio onekana hospital

11 kuwa na ugonjwa wenye kujirudia rudia muda mfupi mfupi

12 kuwa na Mtoto analia sana usiku kuanzia sàa sita

13 Kuota kula kula 

14 kuwa na hali ya kutembelewa na vitu mfano wa nyenyere

15 kuvimba mwili kama mpungufu wa damu

16 kupauka mwili kama mgonjwa wa bandana

17 kuvuka ngozi 

18 kuchanjwa chanjwa usingizini

19 kukatwa sehemu ya kiungo usingizini mfano nywele nk

20 kuwa na upotelewaji wa nguo za ndani kwa mazingira ya utata

21 Kuota Mara kwa Mara ukifanya kazi ngumu

22 kuota unasafiri safiri Mara kwa Mara

23 Kuota unapika shughulini

24 kuchukiwa na watu bila sababu

Ukiwa na dalili izo usikae na kunyoosha miguu utaangamia ibidi utafute tiba kwa Araka sana.

Ukiitaji kupata mafundisho ya tiba mapyaa na yalopita unaweza bonyeza link hii

https://drhamzatz.blogspot.com/?m=1

Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll sms
0655729439 WhatsApp coll sms
Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment