Twitter Facebook Feed

TIBA YA KIFUA NA MAFUA

KIFUA/KUKOHOA

Hutibiwa kwa kutumia mchanganyiko ufuatao-
Asali
kitunguu maji
Kitunguu swaumu
Tangawizi.

Matumizi

Twanga mchanganyiko huu pamoja kisha ndio utumie.

Asali iwe nusu lita vyengine viwe ujazo sawa.

Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll sms
0655729439 WhatsApp coll sms
Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment