UMUHIMU WA NDOTO YAKO
NDOTO ( DREAMS )
Ndoto mara kwa mara huwa nasema kwamba, ni taarifa inayo kujia kwa njia ya fumbo kupitia usingizi. Pia zipo ndoto huja moja kwa moja kama zilivyo, lakini pia bado itabaki kuwa taarifa ya siri kupitia usingizi.
KUNA AINA TATU ZA NDOTO
1) NDOTO NJEMA ( Ru'yaa ) hizi ni njozi njema zenye kukuashiria jambo jema
2) NDOTO MBAYA ( Hulum ) Ni njozi zenye kukuashiria jambo baya.
3) NDOTO ZA BINAFSI
hizi ni ndoto zinazo tokana na fikra zako zilizo gusa hisia zako hivyo hujirudia usiku ukiwa umelala
Lakini pia kuna mtu ambaye akiota huwa hakumbuki alicho ota Na kuna yule haoti kabisaaaaa Na kuna yule anaota ila hajui mana yake.
(1) kuota na kusahau hutokana na uchaw ambao mtu kafungwa na kuchezewa kinyota
(2) kuto ota kabisa, ni kuchezewa kwa uchawi na huwenda nyota ikawa inatumiwa na mtu mwingine na kujikuta upo ili mradi lakini akili haijiongezi
(3) Ndoto za Mungu huwa ni zile zenye taarifa na habari njema na huwa ni kabla ya saa 11 alfajir 4 ndoto za kichawi ni alfajiri kianzia 11 kuja saa moja 5 ndoto za majini hazina muda maalum Hata saa sita mchana waweza kuota.
Na ndoto huhitaji wajuzi ili kuweza kupata ufafanuzi yakinifu Usisimulie ndoto isipo kuwa kwa mtu muaminifu Kumbuka ndoto yaweza kusababisha
#udhuriwe,
#uyajue yaliyo jificha,
#udharaulike,
#na uheshimiwe.
Tafadhali usidharau njozi ni kitu muhimu sana katika maisha njozi inaweza kukupa taarifa juu ya jambo ulofanyiwa unalotaka kufanyiwa na jambo linaloendelea ktk maisha yako naam ukiitaji kutafasiriwa njozi bure njoo inbox au tuma njozi yako apa ktk group ili upate tafasiri sahihi na faida zake.
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp college sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment