Twitter Facebook Feed

KUTOKUZALISHA MBEGU KWA MWANAUME (male infertility)

Jumatatu, 20-2- 2022

KUTOKUZALISHA KWA MWANAUME
Ni tatizo ambalo huwakumba Wanaume wachache japo ukuwaji watatizo hili ni wakasi

SABABU ZIKIWA NI

1)TATIZO LA UZALISHAJI WA MBEGU (Sperm Production Problem)  >  hili ni tatizo kubwa miongon mwa yote ambapo uzalishwaji wa manii hua ni mchache au manii kua dhaifu na kutokuweza kufanya kazi ipasavyo

2) VIZUIZI KWENYE MIRIJA (Blockage of Sperm Transport)  >  vizuizi kwenye mirija inayopeleka manii kwenye dhakari na kusababisha manii kutokutoka ipasvyo au kutokutoka kabisa

3) NGUVU ZA KIUME  >  japo sio tatizo kubwa lakini pia kutokuweza kusimamisha ipasavyo au kutoweza kujihimili na kumwaga mapema kabla ya kumuingilia mwanamke ndani ya uke  hua ni tatizo

4) HOMONI  >  Saa zingine  tezi (pituitary gland) hazitoi taarifa sahihi za homoni kwenye makende hili tatizo hupelekea uzalishwaji mdogo wa manii au kutokuzalishwa kabisa

MAZINGATIO KABLA YA DAWA

Acha Uvutaji SIGARA kama unavuta maana hupunguza kasi ya uzalishaji wa mbegu

Epuka JOTO jingi kwenye sehemu za uume maana huua ubora wa manii zilizo zalishwa kwa muda huo Allah mjuzi zaidi anajua kwanii kiungo dhakari na makende vimewekwa njee

TIBA

Nenda duka la dawa asili nunu RAWANDI kisha yeyusha kwa maji ya DAFU au maji ya NAZI  halafu kunywa mara MBILI kwa siku ndani ya siku TATU
BAADA YA KUMALIZA HIZO SIKU TATU kata KABICHI ziwe ndogo ndogo saana weka KARANGA MBICHI kisha mwagia ASALI alafu utafune mchanganyiko huo kwa kipimo cha MKONO wako
utatumia siku SABA ukiwa unaandaa kila siku na kutumia mara moja kwa siku mpaka siku saba.

Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 whatsapp coll sms
Tanga Pangan Tanzania

0 comments:

Post a Comment