TIBA YA MTOTO ANAYE STUKA NA KULIA SANA USIKU
usiku mtoto huyo hustuka na kulia na hata kupelekea kifo
mara nyingi wazazi haswa wakike wamekua wakiteseka sana kwa watoto wao pindi wanapo ona mtoto kastuka na kuanza kulia
tatizo hili mara nying halionekan hospital
SABABU NYINGINE HUA
###Nyumba kuwa inaingiliwa sana na wanga
###Mama kuwa na majini mahaba dume.
NJIA YA KUONDOSHA TATIZO
KWA ALIE FANYIWA KIJICHO
chukua MAGADI weka kwenye maji kisha muogeshee mtoto kutwa mara mbili
kama nyumba inasumbuliwa na WANGA upate
MDAULA na MTUNDA kisha loweka katika maji muda wa SAA NZIMA halafu mwaga mwaga ndani ya nyumba nzima,
kisha mtoto awe anapakwa MAFUTA YA NDIMU kwa miezi sita
NJIA YA PILI YA KUONDOSHA TATIZO
kama ni mama ana majini mahaba dume basi mtoto awe anapakwa MAFUTA ZAITUNI mwili mzima na ASITUMIE mafuta mengine yeyote kupaka zaidi ya mafuta ya zaytun adumu kwa
MIAKA MIWILI. hapo mtoto hatodhuriwa na majini ya mama yake
pia kama mama ana majini ya kuapanda na ni majini mahaba au wale wa kimila au uganga.
mtoto atapakwa MAFUTA YA ZAITUNI mchanganyo na mafuta ya VITUNGUU SWAUMU. mpaka aache kunyonya
Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment