Twitter Facebook Feed

MTAMBUE JINI JABALI

              MTAMBUE JINI JABALI
JINI JABALI


Tunapo muongelea Jini huyu, tunaongelea jini MKOROFI na mwenye vituko vya uhuni sana.
Jini aina ya Jabali ni Jini ambaye huishi  bara na baharini. na huwa anasumbua sana matabibu pale wanapokuwa hawajamgundua kuwa ni jini jabali.
utamjuaje mtu mwenye jini jabali

DALILI ZAKE

 1) humfanya mtu awe KIBRI sana

 2) mtu huwa anapenda sana UKUBWA

 3) humfanya mtu awe na NGUVU YA AJABU kuliko umri wake

 4) mtu huwa ANAJIAMINI sana.

UPANDE WA NDOTO

1) kuota mtu yupo porini anaelekezwa dawa

2) kuota upo mapangoni

3) kuota upo vitani

4) kuota upo katika majabali ndani ya bahari

5) kuota upo milimani.

Naam majini awa wapo wa aina mbili aina 3 na aina ya kwanza ni wakurithi kutoka kwa mtu aliekufa na aina ya pili ni wa kumchunuku mtu na kumpenda na kumuingia toa akiwa mdogo na aina ya tatu ni wakutumwa yani shakizi, sasa basi akiwa ni wa kuchunuku au kurith awezi kutolewa ispokuwa atatawalishwa na kupewa watakacho wakuache salama na akiwa wakutumwa atatolewa na mgonjwa kutumia tiba izi

TIBA YAKE

#mafuta ya mchaichai

#mafuta ya figiri

#mafuta ya nyangumi

#mafuta ya ndimu
changanya kisha uwe unapakaa kwa siku 45,

DAWA YA KULA

MSUBIANI

MJAFARI

MWINGWA JINI

MJABARI

KAMUN AS WAD

kisomo ni HARB.

siku tano hadi saba mfululizo.pia dawa ya kufuta chale ya wanga ni muhimu kwa mgonjwa.

Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangan Tanzania

0 comments:

Post a Comment