Twitter Facebook Feed

JIEPUSHE NA MARADHI YA KIZEMBE

JIEPUSHE NA MADHI YA KIZEMBE

UNYWAJI CHAI na kufuatisha MAJI BARIDI sana ni hatari kwa kusababisha tatizo la MAPAFU.

KUNYWA MAJI MENGI katikati ya KULA ni hatari gastric peristalsis ambapo huwezi kusababisha kusinyaa kwa utumbo mpana na kusababisha UKOSEFU WA CHOO.

NDIZI NA MAZIWA  huleta uzito katika mwili na kusababisha sumu ambayo hupelekea akili kua dhaifu katika utendaji


FIGILI NA NYAMA YA SUNGURA unapoteza nywele

WANAUME kulala  KIFUDIFUDI baada ya  JIMAI ni hatari kwani hukandamiza misuli na kuweza kusababisha upungufu wa NGUVU ZA KIUME 
Wakati kulala ubavu wa shoto husababisha maradhi ya MLIPUKO WA MOYO

FIGILI NA NYAMA YA KUKU
 ukipika pamoja unapoteza nguvu kabisa katika maisha yako

Haya ni maradhi ya  KIZEMBE kwa sababu yatakusababishia gharama kutibu hali hukuwa na sababu ya kupoteza gharama. ..

Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga pangani Tanzania

1 comments:

Post a Comment