FAIDA ZA MRONGE(MORINGA)
FAIDA ZA UNGA WA MRONGE
Huimarisha msukumo wa damu,
Hudhibiti glucose kwa wenye sukari,
Huondoa mashaka na wasiwasi,
Huongeza kinga na nguvu mwilini,
Hutibu kuhara na kuhara damu, Huondoa uvimbe kwenye utumbo mwembamba, na
Huondoa vimbe nyingine mwilini,
Huongeza kasi ya utoaji mkojo,
Huondoa matatizo mbalimbali ya moyo.
Hutibu homa na kikohoza
Unga wa mlonge hutengenezwa kutokana na majani bora ya mti wa mlonge, tumia kijiko cha chai 2 mara 3, kwa wiki 3.
MBEGU ZA MLONGE (MORINGA SEEDS)
Huondoa vipele kwenye ngozi
Huondoa shinikizo la damu
Huondoa saratani ya tumbo
Huondoa homa za mara kwa mara
Hutibu maralia
Hupunguza vitambi , kwa wanawake na wanaume
Huondoa mawe kwenye kibofu cha mkojo
Huongeza nguvu za kiume na za kike
Huongeza uwezo wa kumbukumbu
Hupunguza hasira
Hupunguza tatizo la mafua
Mbegu nazo huchumwa kutoka katika mti bora wa mloge
MAFUTA YA KUPAKAA YA MLONGE
Hulainisha ngozi
Huondoa uchovu
Hutumika kwa wanawake na wanaume kujipaka
Huondoa mabaka na mibabuko
Huondoa ukurutu na magamba mwilini
Huondoa harufu mbaya sehemu za siri
Hunawirisha mwili.
Magonjwa mengine unayoweza kupona kwa kutumia mafuta ya mbegu za mlonge ni pamoja na:
1. Upungufu wa damu (anaemia)
2. Maumivu kwenye maungio (joints pain)
3. Pumu (asthma)
4. Saratani mbalimbali
5. Kufunga choo
6. Kuharisha
7. Kifafa
8. Kisukari
9. Matatizo ya moyo
10. Maumivu ya kichwa
11. Vidonda vya tumbo
12. Mawe kwenye figo
Kujitibu maambukizi kwenye via vya uzazi vya mwanamke yaani P.I.D kunywa kijiko kidogo cha chai cha mafuta ya mlonge kutwa mara moja na unaweza kuongeza mpaka kutwa mara 2 kutegemea na mwili wako unavyoitika kwa dawa.
MIZIZI YA MLONGE
Chukua kilo 1 ya mizizi, chemsha ndani ya lita 2 za maji, chuja vizuri. Tumia glass 1 kutwa mara 3. kwa kuimarisha afya na kinga mwilini kwa siku 10
Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment