UTAMJUAJE JINI ANAYE KUTESA?
MAJINI NA UTAMBULISHO WAO (HOW TO IDENTIFY THE EVIL SPIRIT THAT POSSESSING YOU)
Kujua aina ya JINI anaye kutesa, huwa inaambatana sana na mfumo wako wa maisha yako kwa ujumla. haswa kwa njia ya :
1) mavazi
2) ndoto
3) tabia
mifumo hii inatosha sana kukujulisha aina ya jini akusumbuaye na jinsi ya kukaa naye mbali.
MFANO
1) unapolala na kuota wanakuja watu wamevaa NGUO za NJANO,
basi angalia tabia yako itakayo kuandama,
utakuwa mwenye kupenda
KULALA unapokuwa msikitini hasa wakati wa khutba.
pia utakuwa huelewani na waislam bali utakuta wengi rafiki zako ni wakristo,
utakuwa ukipenda kuongea kiingereza hata kama hukusoma na huna elimu. nandoto za kuota safari ya ulaya ima kukaa na wazungu
TIBA
hawa wasilimishwe kisha watolewe
2) kuota watu wenye NGUO za BLUU SAMAWATI,
humaaanisha kwamba una majini wayahudi, na tabia yako ni kuwa mnafiki na mgombanishi, huwapendi waislam wala wakristo. unakuwa hupatani na maongezi ya dini.lakini pia ibada hufanyi. wewe ni uongo na kupenda madaraka. hawa
MAJINI WAYAHUDI
hawa wakipanda hujifanya waislam, au wanadai wao ni walinzi. ni
TIBA
wakuwaondoa ima kuwaua
3) kuota watu wamevaa NGUO NYEUPE,
basi itakupelekea kuwa mpole mpaka kero, pia utakuwa na huruma kupita kiasi, halafu una mapenzi na huruma kwa waislam, majini hao ni waislam. lakini hawaujui uislam,
TIBA
wakilinganiwa hutoka bila tabu
4) kuota watu wenye NGUO NYEUSI
basi itaaambatana kuwa mwenye kupenda ngoma na historia za kale,
unapenda simulizi sana, mvivu wa ibada.
sababu
MAJINI HAO NI WAPAGANI
TIBA
inakubidi uwasilimishe na kuwatoa
kumbuka majini ni wakaidi na watukutu sana, huwa akikubali kutoka kirahisi basi huwa anaendelea kufanya hila ya kutaka kurudi tena mwili na visa ndani ya miezi mitatu siku 90.
kumkomesha kwake ni
upate
MAFUTA YA ZAYT SHIFAA ,
ambao ni mchanganyo wa mafuta maalum kisha upakae kwa siku 90.
na basi utakuwa umewakomesha vyema majini
AINA ZOTE.
pia usisahau
KISOMO,
kisomo ni muhimu sana ili dawa iwe ni yenye kufanya kazi.
USIKOSE kuwa unatembele hapa kwa elimu zaidi
Dr Hamza
0654729438 whatsapo coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment