TIBA YA SIKIO
Ndugu yangu jinusuru na UZIWI kwa kutumia tiba nyepesi isiyo na gharama. kwanini uzaliwe kamili kisha uruhusu uziwi?
Hakuna ugonjwa usio na dawa, haya maneno kasema
MTUME MUHAMMAD SAW na ndiyo mana tupo kwa ajili ya kuthamini maneno haya.
iwapo sikio linauma au kutoa usaha
basi wahi kuondoa tatizo hili kwa kutumia
1) mafuta ya habat sauda
2) mafuta ya vitunguu thaum
3)
mafuta ya kenge
JINSI YA KUTUMIA
mafuta ya habat sauda ml 20
mafuta ya vitunguu thaum ml 20
mafuta ya kenge ml 50
kisha changanya pamoja,halafu weka TONE KIDOGO katika sikio linalo tatiza kisha weka pamba ulale.
Utatumia kwa SIKU 19 . kisha baada ya hapo utakuwa salaama in shaa Allah
na ukisha tumia na kupata majibu mazuri usisite kutujulisha kwa mafundisho yetu mazuri ya .
Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment