TIBA YA KIHARUSI (STROKE DISEASE)
KIHARUSI (STROKE DISEASE)
ubongo wa mwanadamu huitaji kiwango kizur cha DAMU kuweza kufika kwenye ubongo kwa sabab damu hubeba virutubisho na oxygen inayo tumika kwenye ubongo na ubongo ukikosa oxygen ndan ya dakika 5 cell zake huanza kufa na mwisho mtu kufariki dunia
Kiharusi ni maradhi yanayo tokea haswa baada ya mishipa ya damu kushindwa kufikisha damu inayo hitajika katika ubongo
kuna sabab nying zinazo pelekea damu kushindwa kufika ipasavyo kwenye ubongo nazo ni kupasuka kwa mishipa au mishipa kuziba kutokana na mafuta kuzid kwenye mishipa ya damu
piakuna KIHARUSI ambayo husababishwa na majini aina ya UMMU SUBIANI,
Ambayo hii hutoka na mtu KUANGUKA CHOONI japo pia kuanguka bafuni husababishwa na mtu kuwah kuosha kichwa na maji barid inaya sababisha mishipa kusinyaa ghafla na kupelekea kupasuka kwa sabab ya ujazo wa damu inayo pita kwenye mishipa.
DALILI ZA KIHARUSI
unaweza mgundua mtu kama ana kiharusi kwa kuangalia dalili zifuatazo
FACE mwangalie usoni kisha muombe atabasamu je UPANDE MMOJA WA USO KAMA UMEANGUKA
ARMS mwambie anyanyue mikono miwili juu je MKONO MMOJA UMELEGEA AU KASHINDWA KUUNYANYUA
SPEECH muuombe arudie sentence utayo sema je ANA MUMUNYA MANENO
ikiwa ndio bas
TIME usipoteze mda muwahishe hospital haraka iwezekanavyo
kama hospital washindwa kujua tatizo ni nin basi fanya ifuatavyo
TIBA
KWANZA pata kisomo cha harbu l qatwui na sayfu l qatw I
CHANGANYA MAFUTA YA NDIMU NA MAFUTA YA NYANGUMI
CHANGANYA APAKAE KUANZIA KICHWANI KISHA IFATE MWILI MZIMA
kisha dawa ya kunywa ni
KAMUN AS WAD
HABAT SAUDA za UNGA,
unachanganya kisha unachemsha KIJIKO KIKUBWA halafu unaweka maji Vikombe vikubwa VITATU yachemke mpaka yabaki vikombe 2 kisha unakunywa asubuhi na usiku siku hizo hizo.
Dr Hamza
0654729438 Whatsapp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment