Dawa ya maradhi haya ya Ini ni hizi zifuatazo utazichanganya hivi, ndipo aanze kutumia mgonjwa.
(a) basbas jauza
(b) habat soda
(c) habbat rishad
(d) habbat halawa
(e) habbat kar-wiyat
(f) uwatu
(g) Akliyl
(h) Jaljalana
Madawa aya yatwangwe yawe unga Kisha yapime kwa ujazo ufuatao.^
Basbas- Vijiko vitatu vikubwa
Habat soda - vijiko vitatu
Habbat rishad - Vijiko viwili
Habbat Halawa - Vijiko viwili
Uwatu - Kiasi cha nusu kilo
Habbat kar - wiya - Vijiko Saba
Al-akliyl - kiasi cha robo kilo
Jaljalana - kiasi cha Vijiko vitatu
Kisha madawa aya changanya unga wake Kisha ugawe mafungu mawili baada ya kuyachanganya, ugawe mafungu yaliyo sawa sawa Kisha fungu moja utazichanganya na siki ya zabiybu yenye ujazo utakao sababisha ukishanganya iwe laini kama tepe tepe kama maziwa yaliyoganda.
Na nusu ya pili ya Ile dawa utachanganya na Asali kiasi cha lita moja na nusu.
MATUMIZI
Mgonjwa ataanza kutumia fungu la Kwanza lilochanganywa na zabiybu atatumia kama ifuatavyo ( 1 mara 3 ) kwa siku tisa Kisha akimaliza siku tisa achukue fungu la pili lilochanganywa na Asali atumie kwa utaratibu huo huo atapona inshallah.
Ukiitaji dawa hii iliyoandaliwa kitaalaam karibu inbox na kama wasumbuliwa na uchawi na majini karibu Tanga.
Dr Hamza
0654729438 coll sms WhatsApp
0746025804 coll sms
0769067462 coll sms
0655729439 coll sms WhatsApp
Tanga Pangan Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment