Twitter Facebook Feed

DAWA YA KUPUNGUKIWA DAMU MWILINI

DAWA YA KUPUNGUKIWA DAMU MWILINI

Asalaam aleykum
Naam mda huu nazungumzia dawa ya inayoongeza DAMU kwa haraka sababu baadhi ya wagonjwa upungukiwa damu MWILINI na maradhi yanayokausha damu ni hatar Sana, kwan bila damu mtu uweza kufa na damu kitaalaam aitakiwi kuwa nyingi Sana au kidogo Sana na ukiitaji kujua dam yako bora yatakiwa iwe kiwango gani itakubidi uwonane na daktar ktk hospital iliyopo karibu nawewe.

DAWA YA KUPUNGUKIWA DAMU

Tafuta dawa inayoitwa

KAR-KADEE (ROZERA)

Dawa hii utaichukua kiasi cha ujazo wa robo kilo kisha ichemshe kwa maji kiasi cha lita tano, chemsha kwa muda wa kutosha kiasi cha  dawa hii iive kabisa, yani ibadilike rangi yake na kuwa nyekundu kabisa.

MATUMIZI YA DAWA

Mgonjwa atakuwa akinywa kwa ujazo wa kikombe kimoja  cha chai kutwa mara 3 adi mara tano kwa mda wa siku Saba na baada ya apo itakubidi ukapime  ili ujue kiwango chako sahihi cha dam maana kinaweza kuzidi.

Ukiitaji dawa hii au nyengine yoyote karibu Tanga.

Dr Hamza
0654729438 coll,sms WhatsApp
0746025804 coll,sms
0655729439 coll sms WhatsApp
Tanga Pangan Tanzania

0 comments:

Post a Comment