Twitter Facebook Feed

MAAJABU YA UNGA WA MLONGE

Jitibu msongo wa mawazo (stress) kwa kutumia mlonge

Hali ya mfadhaiko inasemwa kutokea wakati ubongo unapokabiliana na tatizo la mvurugiko wa akili na kujikuta ukishindwa kuendana na hali zingine zinazohitaji umakini kwa wakati mmoja.

Jambo hili linaweza kuuteka ubongo na kudhoofisha uwezo wake.

Hatimaye hali hii ya ufadhaikaji katika ubongo inaweza kutengeneza dalili tofauti ambazo zimepachikwa majina mengi kwa mjibu wa sampuli tabia za nje anazozionesha mtu.

Idadi kubwa zaidi ya watu wanazidi kupatwa au wanategemewa kupatwa na aina fulani fulani za mifadhaiko. 

Baadhi ya aina za mifadhaiko ni hali za asili katika hatua za maendeleo na kukua kwa mtu.

Kwa bahati mbaya, baadhi ya watu uwezo wao ni mdogo kushughurika na woga, wasiwasi na hamaki zinazohusiana na mifadhaiko. Kwa bahati mbaya tena wanapotafuta msaada wa kitaaluma, wanapewa aina fulani za madawa.

Mfadhaiko huongeza utiririkaji wa asidi ndani ya tumbo. Utafiti uliofanywa katika miaka ya hivi karibuni umeonyesha kuwa akili hutumia sehemu kubwa ya nguvu ya mwili.

Baadhi ya madaktari wamesema mfadhaiko huchangia sana katika kutokea kwa magonjwa mengi mwilini zaidi ya 50. !

Tafiti nyingi zimekuwa zikionyesha kuwa moja ya kisababishi kikubwa cha msongo wa mawazo (stress) ni kukosekana kwa viinilishe mhimu katika chakula.

Kukosekana huku kwa viinilishe mhimu katika chakula kunasababisha usawa usio sawa wa homoni mwilini (hormonal imbalance) jambo linalopelekea kutokea kwa msongo wa mawazo.

Msongo wa mawazo umeendelea kuwa tatizo kubwa kwa watu miaka ya sasa na wengi wao wakipatwa na tatizo la kukosa pia usingizi.

Hata hivyo, tatizo hilo linaweza kutibika kirahisi kwa kuongeza viinilishe sahihi kwenye mwili wako

Kwa bahati nzuri unga wa majani ya mlonge una viinilishe vingi kuliko mmea au mtishamba wowote chini ya jua ukiwa na viinilishe 92 ndani yake!

Unga wa majani ya mlonge una kiasi cha kutosha cha vitamini A, B, C, E, Potasiamu, Kalsiamu na viinilishe vingine vingi.

Kwahiyo kama utaweka mazoea ya kutumia mlonge kila siku itakuwa ni vigumu kwako kupata tatizo la msongo wa mawazo huku ukipata faida nyingine nyingi za mti huu wa ajabu

Kiasi kingi cha madini ya magnesiamu kwenye mlonge ni mhimu kutibu matatizo ya mifupa kwa wamama wanaofika ukomo wa siku zao (miaka 40 hivi kwenda juu).

Magnesiamu madini yapatikanayo kwenye mlonge ni dawa maarufu ya kutuliza akili (Tranquillizer) na kutibu matatizo kama msongo wa mawazo, sononeko, huzuni, hamaki na matatizo mengine ya mvurugiko wa akili.

Kijiko kidogo kimoja cha chai cha unga wa majani ya mlonge kinakutosha kwa siku ukitumia kwenye juisi ya matunda uliyotengeneza mwenyewe nyumbani au katika uji au kwenye supu au kwenye mchuzi nk nk

Kama utahitaji unga wa majani ya mlonge karibu

Unga wangu wa majani ya mlonge ni mzuri na naweza kusema pasipo na hofu kuwa huwezi kupata sehemu nyingine wenye ubora unaokaribia na wangu.

Ninauandaa kwa umakini mkubwa ili ubaki na viinilishe vyake na ni wa kijani kweli kweli

Dr Hamza
0654729438 coll,SMS WhatsApp
0746025804 coll,SMS WhatsApp
Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment