Twitter Facebook Feed

TIBA RAHISI YA NGUVU ZA KIUME

TIBA YA KUTIBU NA KURUDISHA                     NGUVU ZA KIUME.

🌿Tiba Hii Hukaza Misuli Na Mishipa Ya uume.Kuponya Majeraha Ndani Ya uume ,kuimarisha ngozi ya uume ,Kuimarisha mzunguko wa Damu Kwenye uume ,Kuondoa Tatizo la uume kusisimka haraka,Nakadhalika .hii ni tiba ya kutumia matunda .kitunguu swaumu.

Anza Hivi👇🏻
🥛Kila ASUBUHI UKIAMKA TU MEZA PUNJE 3 ZA KITUNGUU SWAUMU ,KUNYWA NA MAJI  MENGI  , JIONI UKIENDA KULALA KUNYWA TENA .MEZA TU NA MAJI USITAFUNE. 

Asubuhi na Jioni Ukienda kulala Ndani ya Siku 7.

Baada Ya Kunywa Vitunguu swaumu Fuatisha Matunda tiba. 👇🏻

Namna ya kutumia Matunda Kimatibabu,Usije ukala kawaida, ukitumia kawaida siyo dawa tena .
Hakikisha Unafuata Fomula,Ndiyo inakuwa dawa.

👉Dawa zote unazozijua Zimetengenezwa kwa Kufuata Fomula Fulani .

🌿Tiba Hii Ni matunda tiba ambayo hayana Madhara yoyote kwa Mwili Wako.

  Tumia kwa siku Mara mbili .

Matokeo utaanza kuyaona siku ya 5 matokeo kamili siku 7 Ikiwa tatizo Ni Sugu .

●Matunda tiba Ni Haya 👇🏻
♦️NI UTAFITI NILIFANYA NA KUGUNDUA MATUNDA HAYA YANATIBU NGUVU ZA KIUME KWA UHAKIKA.

👉1)Ndizi Mbili (Zilizo iva Vizuri .
👉2)karoti 2 .Tamu (laini sio yale magumu).
👉3)Tikitiki Maji.(kipande kidogo)
👉4) Parachichi (kipande)

 "OSHA MATUNDA VIZURI NA MAJI MASAFI ,Karoti Kwangua kozi yake Ya Juu Ndiyo Utumie "

■Namna ya kutumia kimatibabu ,ili kuwa dawa yafanye kazi ya kufufua misuli na mishipa ya uume wako.

 *FANYA* Hivi;Kula kwa Pamoja,ambatanisha.Yani ukimaliza tunda Moja unaanza lingine hapo hapo,Mpaka umalize yote matunda tiba Manne .Kwa Siku Mara mbili ×2.

🌿  FUATISHA FOMULA HII
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

1️⃣.Siku ya kwanza 

Kula ndizi 2 ,karoti 2 Parachichi Kipande,tikitimaji kipande kidogo.

Kula hivyo kwa siku Mara mbili ,yani Asubuhi na jioni .
Au muda wowote ila hakikisha kwa siku mara mbili.

2⃣Siku ya Pili .
Anza kula,Parachichi kipande, Tikitimaji kipande kidogo, karoti 2, ndizi 2.

Kula hivyo kwa siku Mara mbili ,yani Asubuhi na jioni .
Au muda wowote ila hakikisha kwa siku mara mbili.

3️⃣Siku ya Tatu.
Anza kula tikitiki Maji kipande kidogo, karoti 2,ndizi 3,Parachichi kipande. 

Kula hivyo kwa siku Mara mbili ,yani Asubuhi na jioni .
Au muda wowote ila hakikisha kwa siku mara mbili.

4️⃣Siku ya nne .
Anza kula karoti 2,ndizi 2,Parachichi kipande, malizia na tikitimaji.

Kula hivyo kwa siku Mara mbili ,yani Asubuhi na jioni .
Au muda wowote ila hakikisha kwa siku mara mbili.

5️⃣Siku ya Tano.
Anza kula ndizi 2, tikitimaji kipande kidogo,malizia na karoti 2,Parachichi kipande. 

Kula hivyo kwa siku Mara mbili ,yani Asubuhi na jioni .
Au muda wowote ila hakikisha kwa siku mara mbili.

6️⃣Siku ya sita.
Anza kula ndizi 2,Parachichi kipande, Karoti 2 alafu malizia na tikitimaji kipande. 

Kula hivyo kwa siku Mara mbili ,yani Asubuhi na jioni .
Au muda wowote ila hakikisha kwa siku mara mbili.

7️⃣Siku ya Saba.
Anza kula Parachichi Kipande, ndizi 2,karoti 2, alafu malizia na Tikitimaji .
Fanya hivyo kwa siku mara mbili.

Kula hivyo kwa siku Mara mbili ,yani Asubuhi na jioni .
Au muda wowote ila hakikisha kwa siku mara mbili.

Hakikisha unabadilisha tunda la kuanza nalo kula.

Lakini matunda Ni hayo  Manne  tu.

Dalili za kuonyesha Kwamba umepona Ni uume kuwa na mishipa mingi mikubwa itajitokeza ,na misuli ya uume utasimama muda Mrefu .Hutasisimka haraka Wakati wa tendo la ndoa .Utafanya kadri unavyotaka.

 Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll sms
0655729439 WhatsApp coll sms
0746025804 coll SMS
Tanga Pangan Tanzania

1 comments:

Post a Comment