ZIJUE FAIDA ZA MAJI YA TANGAWIZI KATIKA KUPUNGUZA UZITO MKUBWA NA KUONDOA MAFUTA MABAYA MWILINI UKIWA NYUMBANI.
Kuna maelekezo mengi kuhusu mlo na tiba juu ya kupunguza uzito mkubwa na kuondoa mafuta mabaya mwilini kwa njia za asili ukiwa nyumbani na wengi tumejeribu, na baadhi ya njia hizo zimefanya vizuri kuliko zingine.
Moja ya njia inayojulikana kwa ufanisi wake wa kutoa matokea ya haraka ni njia ya kutumia Maji ya Tangawizi.
KWA NINI MAJI YA TANGAWIZI?
Maji ya Tangawizi husaidia kuchoma mafuta kutoka katika maeneo yote yenye mlundikano wa mafuta mabaya kama sehemu za tumbo, viuno na sehemu zinginezo za mwili.
Pia husaidia kuimarisha afya yako na kukukinga na kushambuliwa na magonjwa mengine kama magonjwa ya moyo na kiharusi.
FAIDA ZA KIAFYA ZA KUTUMIA MAJI YA TANGAWIZI.
Maji ya tangawizi yana faida zifuatazo;
>>> Shinikizo la Damu.
Maji ya tangawizi husaidia kudhibiti shinikizo la damu yako na kupambana na tatizo la kuganda kwa damu katika mishipa ya damu.
>>> Cholesterol.
Matumizi ya mara kwa mara ya maji ya tangawizi yatapunguza kiwango cha juu cha cholesterol na kuzuia magonjwa yanayohusiana na ugonjwa huu.
>>> Kiondosha sumu mwilini.
Husaidia kuondoa sumu mwilini na kuzuia uharibifu unaoweza kusababishwa na sumu zilizopo katika mwili.
>>> Kupambana na Kansa.
Maji ya tangawizi yanauwezo wa kupambana na vichocheo vya saratani hivyo husaidia kukukinga na saratani.
Mahitaji.
- Vipande vidogo vidogo vya tangawizi vilivyokatwa katwa baada ya kuisafisha.
- Juisi ya Limau kama ukitaka)
- Maji safi na salama ya kunywa.
Maandalizi.
% Chemsha maji pamoja na tangawizi uliyoiandaa.
% Acha ichemke ka muda wa dakika 10 - 15
% Baada ya hapo ipua na tia mchanganyiko huo katika glass acha ipoe kidogo.
% Ongeza juisi ya limau na koroga mchanganyiko huo vizuri
Matumizi.
=== Kunywa glass moja asubuhi kabla ya kula kifungua kinywa na glass moja kabla ya chakula cha jioni.
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 WhatsApp coll SMS
0746025804 coll,SMS
Tanga Pangan Tanzania
0 comments:
Post a Comment