Twitter Facebook Feed

IJUE MIUJIZA YA MTI ULIOPIGWA NA RADI

IJUE MIUJIZA YA MTI ULIOPIGWA NA RADI

Je, ulishawahi kuona mti uliopigwa na radi? Unafahamu kwamba una matumizi lukuki katika masuala ya tiba na kinga? Basi siku ya leo utaweza kufahamu japo kwa ufupi kuhusiana na mti ambao ulipata kuangukiwa au kupigwa na radi.
(1). MTU ALIYEPOOZA MIGUU/MWILI : Kuna wale watu ambao wamekumbwa na mitihani ya kupooza mwili au miguu, basi endapo mti huu ukaandaliwa kwa kufuata taratibu zote za kijadi, utaweza kumsaidia mgonjwa kuweza kurudi katika uzima na hali yake kama alivyokuwa zamani.
(2). KUKIMBIZA MAJINI HATARI KATIKA MWILI : Wapo wale wanaosumbuliwa na majini miaka nenda rudi katika miili yao, unakuta mtu kamaliza visomo vya dua, tiba za kirukia lakini unakuta bado analalamika, unaambiwa akikutana na tiba ya mti uliopigwa na radi hapo mchezo unakuwa umekwisha.
(3). KINGA YA BIASHARA DHIDI YA CHUMA ULETE : Ukibahatika kupata walau kipande kidogo cha mti uliopigwa na radi na kukihifadhi katika sehemu yako ya biashara ambayo inahusisha uingizaji na utoaji wa hela, basi chuma ulete utaisikia kwa wenzako na endapo akithubutu kukujaribu basi ataaibika na Ulimwengu mzima utamjua.
(4). KUONDOSHA NUKSI, MIKOSI NA MABALAA : Inaelezwa kwamba ikiwa utatembea na kipande chake mfukoni hata kama kuna balaa, nuksi au mikosi ilikuwa ikupate basi itakupita mbali kabisa.
(5). HUTUMIKA KAMA TEGO KUNASA MCHEPUKO :  Huenda ukawa umewahi kusikia au kuona watu wakinasana hasa wale wezi wa mapenzi ya wenzao, basi asikwambie mtu hiyo ni kazi ya mti wa radi ambao ukichanganywa vizuri na dawa nyingine huwakamata wagoni.
UK I IT A JI TIBA YOYOTE AU DAWA KARIBU TANGA.
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 what's app coll SMS
0746025804 Coll SMS
Tanga Pangan Tanzania

0 comments:

Post a Comment