ASALAAM ALEYKUM
Mwarobaini (Azadirachta indica) ni mti unaofahamika kwa uwezo wake wa kutibu magonjwa ya aina mbalimbali. Inaaminika kuwa mti huu umetoka huko India na Burma. Mwarobaini hushamiri zaidi katika nchi za tropiki na una uwezo mkubwa wa kuhimili ukame.
Jina mwarobaini linatokana na imani kuwa mti huu una uwezo wa kutibu magonjwa yapatayo arobaini. Majani na mibegu ya mwarobaini imekuwa ikitumiwa kama tiba kwa miaka maelfu huko nchini India na hivi sasa inatumiwa katika sehemu mbalimbali duniani likiwemo bara la Afrika
Kati ya magonjwa ambayo mti huu umetumika kutibu au kupoza ni matatizo ya kusaga chakula tumboni, kisukari, kansa, magonjwa ya ngozi, malaria, ukungu (fungus), n.k. Matawi yake hutumiwa kama mswaki na magome yake hutumiwa kama dawa ya kusafisha meno.
LEO NAZUNGUMZIA KWA UCHACHE
TIBA YA MUARUBAINI
1.TIBA hii hutunza meno na kuondoa harufu mbaya mdomoni. Kwa watu wanaopenda kula vitu vyenye sukari kama maziwa na mikate ambavyo vikiganda mdomoni husababisha sukari na kuathiri. Wapenzi na wapenda soda ambazo zina kiasi kikubwa cha sukari, wanatakiwa kutumia mwarobaini.
Miswaki: Tumia tawi dogo kutoka kwenye mti huu ambalo lina kemikali ya asili na kusafisha au kutunza fizi za meno.
Magamba ya mwarobaini hutumiwa kutengeneza baadhi ya dawa za meno zinazouzwa madukani.
2. Hutunza ngozi
Mwarobaini ni mzuri katika kutibu magonjwa mengi ya ngozi yanayoambukiza na yasiyoambukiza.
Unaweza pia kuutumia katika kutibu madhara yatokanayo na chakula au dawa.
Oga: Kwa asili, Wahindi wengi huoga maji ya moto yaliyolowekwa majani ya mwarobaini ili kuweka kinga kwenye ngozi zao.
Mafuta: Chukua gramu 100 za mafuta ya ngozi ya kawaida uongeze gramu 10 za mafuta ya mwarobaini, paka utaona mafanikio.
3.Vidonda vya kuungua vilivyochunika:
Chukua majani ya mwarobaini kiganja kimoja kisha changanya na maji lita moja, chemsha kwa dakika 20. Baada ya hapo chuja yakiwa bado ya moto kisha yapooze, osha sehemu iliyoungua. Maji haya yanasaidia kuzuia maambukizi.
Ukiitaji Pete ya kinga ya bahat na tiba zinazousiana na uchawi na majin onana na
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439WhatsApp coll SMS
0746025804 coll SMS
Tanga Pangan Tanzania
0 comments:
Post a Comment