Twitter Facebook Feed

DALILI ZA MTU ALIEROGWA AU ANAESUMBULIWA NA MAJIN


Dalili kuu za uchawi na majini mwilini kwako ni hizi hapa
Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.

Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
Kuongea usiku na kupiga kelele
Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
Kuota uko msituni mara kwa mara
Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
Kuota uko makaburini mara kwa mara
Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla 
Kupata stroke zisizoeleweka chanzo chake hasa ukiwa na nafasi na neema kubwa kwenye kazi au biashara au unapoishi
Kushindwa kuongea ghafla na kuwa bubu mtu mzima aliyekuwa mzuri kwa kuongea na kushauri watu
uume kurudi ndani nakuwa mdogo kama wa mtoto au pili pili na hali ulikuwa na urefu wa kawaida
Matiti kurudi ndani kwa mwanamke ghafla
Kuchukia mke au mme na kuona ana sura kama ya mbwa au mbaya na wakati wengine wanamuona mzuri sana
Kusinzia sana na wakati mwingine kusinzia kazini na kushindwa kazi
Bosi na watu muhimu kukuchukia bila sababu hata kama ni mchapakazi hodari
Kupenda kuzini na kulewa mpaka ukaamua kuwa wewe na zinaa, pombe, maisha ndo sehemu ya maisha yako, shetani anakuwa anakuendesha kama gari
Kuzama kwenye matatizo makubwa ya kimaisha mara kwa mara na mikosi inakuwa kama ndo sehemu ya maisha yako
Kusikia unaitwa jina lako usiku au mchana na mtu aliyekuita humuoni
Kushindwa ibada na kusinzia wakati wa ibada na kwenye hotuba za dini zenye kuamrisha mema na kukataza mabaya hupendi na ukiwepo unasinzia mara moja bila kutaka

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua

Ukiwa na DALILI izi wasiliana nami ntakusaidia

Dr Hamza
0654729438
0746025804
0655729439 WhatsApp
Tanga Tanzania

0 comments:

Post a Comment