Twitter Facebook Feed

CHALE ATARI ZA KICHAWI

Asalam aleykum
Zijue aina za chale/mihuri ya kichawi
Kama kichwa cha hapo juu..kimavyosema. Bila kupoteza mda tuanze........
kuna watu watapata shida kukuelewa, lakini ukweli chale za wanga ni aina ya MIHURI ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi.
ukisha wekwa mihuri hiyo huwa Ni ngumu kutibika na huishi kuumwa mpaka uifute mihuri hiyo.ambayo Ni alama ndogo sana na hujulikana kwa wenye ujuzi.
AINA YA MIHURI NA DALILI ZAKE
1)) CHALE ZA KUFANYWA MSUKULE
ukiwekea alama hizi, huwa utashangaa unaumwa sana na maumivu yasiyo eleweka,na ndoto zako ni kuota ukifanya kazi ngumu na kuamka umechoka sana na homa isiyo tulia,kama ukienda kwa waganga utaambiwa kuwa una mambo ya kimila ufanyiwe
2 )) CHALE ZA KUKARIBISHWA UCHAWINI
jua kwamba wachawi huwa kuna watu huwatamani wajiunge na uchawi,na hivyo huwaalika uchawini, na kuwafanya watu hao wawe na ndoto za kuota wakiwa katika mikusanyiko ya watu na kupika vyakula,na ikitokea umeonekana hutaki uchawi utapewa maradhi ya matumbo na mwili kuwaka moto pamoja na kukosa usingizi,maradhi ya pressure na homa zisizo kwisha
3 CHALE ZA MWILI WA KUFUNDISHIA
kuna mtu ambaye mwili wake ni kama uwanja wa mazoezi kwa kufundishia uchawi wanafunzi wao,huyu huwa na ndoto za kula kula usiku,pia huwa magonjwa ya ajabu sana, na hospital hawaoni ugonjwa japo mtu anaumwa sana
4)) CHALE ILI KIVULI CHAKE KITUMIKE
kuna mtu ambaye kivuli chake kinatumiwa na wachawi, mtu huyu huwa na ndoto za kusafirisafiri sana,pia anakuwa akishutumiwa uchawi mtaani na ndugu pia hali ya kuwa yeye hajawahi kuroga na hajui uchawi, pia ana kuwa kama mtu mwenye nuks na mikosi na kutopendwa na watu pamoja na kusemwa ana maringo na hali haliringi
5 )) CHALE ZA WATOTO WA WACHAWI
kuna mtu wazazi wake au shina lake Ni wachawi, huwa na mihuri ya kumjuza kwa wachawi wenzao kuwa na mwana wao,mtoto huyo huaribikiwa maisha na kushindwa kupata masomo na kuwa uelewa mbaya darasani, iwapo ameukataa uchawi baada ya kuwa alikwisha ruka na kula baadhi ya nyama za watu.pia huwezwa kupewa ugonjwa wa kuanguka na kuwa kama zezeta ambaye ugonjwa haunekani hospital
6 )).CHALE ZA MCHAWI MWENYEWE HIZI HATUTAONGELEA ITABAKI KUA NI SIRI YA MTATIBU
Ila zingatia kwamba ukisha kuwa na CHALE unaweza kuonekana una maradhi mengi ya ajabu ikiwamo UVIMBE TUMBONI au hata BUSHA, MATENDE YA GHAFLA nk
ili utibiwe lazima ufutwe chale za wanga kwanza ndipo upatiwe dawa za kutibu ugonjwa utakao dhihiri baada ya kufutwa chale
TATIZO LA CHALE NI KWAMBA UTAKULA DAWA ZA KUONDOA SIHRI AU MAJINI bila mafanikio ima kubeba DAWA NA KUHARIBIKIA NJIANI sababu zile chale ni kama KITOA HABARI ( TRACKING ) kwa MROGAJI wako anakuwa anajua hatua zote unazo fanya
Dr Hamza
0654729438 coll,SMS WhatsApp
0655729439 coll,SMS WhatsApp
0746025804 coll,SMS
Tanga Pangan Tanzania
Tanga Tanzania

0 comments:

Post a Comment