Vifaa
1) Yai viza moja LA kuku mwekundu
2) Yai viza moja LA kuku mweusi
3) Yai viza moja LA kuku mweupe
4) Kongwa
5) Mafuta ya nyono
Jinsi ya kutengeneza
Chukuwa mayai yote ayo pamoja na kongwa kisha yachome finya kisha tafuta kibuyu tia finya iyo kisha changanya na mafuta ya nyono.
Matumizi
Tumia kwa kunuiya maradhi na uchawi kisha mpake mgonjwa viungio vyote mwilin.
Dr Hamza
0654729438
0746025804
0655729439 WhatsApp.
0 comments:
Post a Comment