Twitter Facebook Feed

TIBA YA UGONJWA WA GANZI

Ukiwa wasumbuliwa na ugonjwa wa ganzi chukuwa siki ya mnazi na tangawizi kavu unajipaka wakati wa usiku moja Mara moja 1×1 kwa muda wa wiki 2 au tumia mafuta ya aridali kupaka sehem zilizoathirika asubui na jion 1×2 kwa wiki 2 au unaweza kutumia tiba kubwa zaidi 
Chukuwa kamun aswed,halititi,hardal,manjano unga,kungu manga unga vyote ivyo upate vikiwa unga kisha changanya na mafuta ya habat soda chemsha  ujazo wa mafuta chupa ya soda kisha yakipowa paka sehemu zilizoathirika 1×1 kwa week 
Dr Hamza
0654729438
0746025804
0655729439 WhatsApp

0 comments:

Post a Comment