1) Basbas jauzi
2) Habat soda
3) Habat rishad
4) Habat halawa
5) Habat kar-wiyat
6) Uwatu
7) Akliyl
8) jaljalana
Madawa aya yatwange yawe unga kisha yapime kwa ujazo ufuatao:-
Basbas :- vijiko 3 vya chakula.
Habat soda :- vijiko 3 vya chakula
Habat rishad :- vijiko 2 vya chakula
Habat halawa :- vijiko 2 vya chakula
Uwatu :- kiasi cha nusu kilo
Habat kar-wiya :- kiasi cha vijiko 7 vya chakula
Al-akliyl:- kiasi cha robo kilo
Jaljalana kiasi cha vijiko 3 vya chakula
Madawa ayo yote changanya unga wake kisha unga uwo ugawe mafungu 2 baada ya kuuchanganya , ugawe mafungu yaliyo sawa sawa na fungi moja utalichanganya na siki ya zabiybu, utatiya zabiybu ya kutosha kiasi utakapoitikisa kwa muda mrefu itakuwa kama maziwa yaliyoganda.
Na ile nusu ya pili utaichanganya na asali kiasi cha Lita moja na nusu .
Matumizi
Mgonjwa wa tatizo ili ataanza kutumia fungi la kwanza la dawa iliyochanganywa na siki ya zabiybu atakuwa akichukuwa kiasi cha kijiko kimoja cha chakula cha dawa hii atakula asubui kimoja mchana kimoja na jion kijiko kimoja (1×3) kwa siku 3 adi 9 (3-9) kisha baada ya siku 9 kumalizika ndipo atachukuwa lile fungi la pili la dawa ilochanganywa na asali atatumia kwa mpangilio uwo uwo adi iishe atapona inshaa Alhaaa
Dr Hamza
0654729438
0746025804
0655729439 WhatsApp
Tanga Tanzania
0 comments:
Post a Comment