Twitter Facebook Feed

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO

TIBA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo ni nini?


Ni kuharibika kwa ukuta wa tumbo la chakula na sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba. Kuna aina kuu mbili za vidonda vya tumbo

1. Wazungu wanaita Gastric ulcers- kiswahili ni hali ambayo hutokea kwenye mfuko wa tumbo la chakula.

2. Wazungu wanasema Duodenal ulcers- kiswahili ni hali ambayo hutokea sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba.

Chanzo cha vidonda vya tumbo ni kuongezeka kwa asidi kwenye tumbo la chakula.

Dalili za vidonda

Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo njaa kupita kiasi hasa usiku, tumbo kuwaka moto sehemu ya juu kwenye chembe, tumbo kujaa gesi, kuhisi kichefu chefu na kuharisha kutokana na kubagua vyakula.

Kuna aina nyingi za dawa za vidonda vya tumbo tena zinazosababisha kupona kabisa.

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO

Changanya mdarasini, khurinjani, tangawizi, habasoda na manjano. Vyote viwe na ujazo sawa kisha changanya.

Kisha chota kijiko kimoja na asali vijiko vitatu kisha weka kwenye glasi ya maziwa au uji na unywe kutwa mara tatu. Hakikisha hizo dawa unazipata zikiwa mpya.

Epuka dawa zilizokaa dukani miaka mingi, kwa kuwa hazina nguvu.

Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 Coll sms
Tanga Pangan Tanzania

0 comments:

Post a Comment