MIBONO SHAHIDI, WALINZI WA KABURI FAIDA NA MATUMIZI YAKE KATIKA MAISHA YA MWANADAMU
Mti huu huwenda usifahamu kwa jina la mbono ila angalia picha ili twende sawa.
Mti huu huitwa mashahidi au walinzi wa kaburi kwa sababu mazishi ya waislamu mara nyingi huweka miti kila engo ya kaburi kama alama ila kiitikadi huitwa mashahidi. Miongoni mwa miti mengine ni pamoja na mihogo au miarobaini na miti mengine yoyote iliyopo karibu na eneo la kuzikia.
Sasa leo nitazungumzia kuhusiana na mti wa mbono angalia vzuri picha chini. Kwa wenye matatzo ya jino kuuma kutoboka fidhi kutoka damu
Chukua utomvu wake weka kwenye jino linalouma litapona papo hapo. Wanasema dawa ya jino kuling'oa hawajui kinachosababsha jino kuuma ni wadudu ukilitoa jino bovu wadudu huamia jino jengine utajikuta unamaliza meno dawa ni kuua wadudu.
Utomvu wake pia waweza ponesha kidonda kwa haraka zaid pakaa eneo lenye jeraha hata ukiumia ukiwa unatoka damu nyingi twanga majani ya mti huu weka ulipoumia damu itakata haraka sana na hautachelewa kupona.
Kwa wale wanaofanya shughuli za kuingiliwa kinyume na maumbile sasa wakaamua kuacha huo mchezo na wanataka kurejesha lile eneo lirud katika hali yake ya kawaida sambamba na kuua vijidudu vinavyotekenya huko chini utachukua majani ya mti huu utayachemsha kama nyungu usifunue mpaka ichemke haswa utaacha ipoe kidogo iwe vuguvugu utafusha ilo eneo hakikisha mpaka mvuke uingie ndan uhisi maumivu kabisa pia utachukua maji yake utatumia kuchamba eneo husika tumia kwa muda mrefu ili upate matokeo mazur na ni mara mbili kwa cku
Hii inafanyika kwa wanaotaka kuacha tu ila ukirudia utapata madhara makubwa sana sitegemei kuulizwa madhara gani najua ni watu wazima.
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment