TIBA YA
BARIDI YAABIS ( rheumatoid arthritis )
BARIDI YAABIS ni ugonjwa sugu ambao husababisha uvimbe kwenye viungo ambapo huleta maumivu makali, ulemavu na viungo kushindwa kufanya kaz haswa vidole , kiuno, miguu na enka za miguu
japo matatizo haya hayana tiba hospitali na dalili zake ni ngumu kuzigundua maana huja na kupotea au kuhama kutoka kiungo mpaka kiungo .
hizi ni baadhi ya dalili kukujulisha kua unaugua (
rheumatoid arthritis )
DALILI ZA UGONJWA
MAUMIVI YASIYO PONA haswa ya enka za miguu
KUPATA GANZI kwenye vidole vya miguu au mikononi
UCHOVU
MAUMIVU YA VIUNGO
KUKAKAMAA KWA VIUNGO hukithiri haswaa muda wa asubuhi
VIUNGO KUPATA JOTO KALI
VIUNGO KUVIMBA
MOJA YA KATI YA TIBA ZAKE
1) pondaponda TANGAWIZI kisha CHANGANYA NA MAJI YA MOTO KIKOMBE KIMOJA
kunywa asubuhi kabla ya kula chochote IWE NDO TIBA YAKO KILA SIKU .
2) CHEMSHA MAZIWA KIKOMBE KIMOJA
CHUKUA UNGA WA
BINZARI MANJAO KIJIKI KIMOJA
ASALI KIJIKO KIMOJA
CHANGANYA VYOTE PAMOJA KISHA KUNYWA NDANI YA SIKU 21
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment