Twitter Facebook Feed

MAAJABU YALOKUWA KTK MWILI WAKO

Yajue Maajabu yaliyopo katika Mwili wa Binadamu

  
Kumbe mwili wa mwanadamu, una mambo mengi ambayo watu wengi hatuyafahamu, miongini mwa mambo hayo ni kama ifuatavyo;


1. Ingawa ubongo unauwezo wa kutambua maumivu kutoka sehemu mbali mbali za miili yetu lakini , ubongo wenyewe hausikii maumivu hata siku moja hii ndio maana oparesheni ya ubongo inaweza kufanyika bila ya mtu kulala.


2. Ukwei ni kwamba jasho katika miili yetu silo linalotoa harufu mbaya isipokuwa ni bacteria katika ngozi zetu wanafanya jasho litoe harufu mbaya


3.Kila mtu ana alama za kipekee katika kiganja na ulimi wake. na ndio maana kuna finger prints


4.Mapigo ya moyo wako hubadilika kutokana na aina ya muziki unaosikiliza.


5. Urefu wa pua yako, ni sawa urefu wa sikio lako

Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment