Twitter Facebook Feed

TIBA YA FIGO (KIDNEY TREATMENT) 


TIBA YA FIGO (KIDNEY TREATMENT) 

Figo ni miongoni viungo katika mwili wa binaadamu ambavyo vina thamani kubwa sana,na ni katika viungo ambavyo vinaendesha mwili wa binaadamu,kama ilivyo MOYO,INI,na BANDAMA. 


Kiungo hiki figo iwapo itatetereka kwa namna moja au nyingine, basi mwanadamu italazimika aishi kwa mashaka kama si kumkosa.

DALILI ZA UGONJWA WA FIGO

1) KUVIMBA MIGUU

2) MKOJO KUA NJANO

3)MWILI KUA MCHOVU


4) KUTAPIKA

5) KUPATA PUMZI KWA TABU IKIWA MAJI YATA JAA KWENYE MAPAFU

6) MAUMIUVU YA KIFUA (kama maji yatakua yapo  pembezoni mwa moyo)

7) MUWASHO USIO KWISHA

8) KUTOKUPATA USINGIZI


lakini pia figo huweza kutibiwa kwa taratibu kupia ulaji wa matango na vitu vywenye asili maji mfano wa peasi
ila kwa kuwa Mtume Muhammad (saw) ametufundisha na sisi tuelemishe


TIBA YA FIGO



ZAMDA YA UNGA


KUSTI YA UNGA


CHOTA KIJIKO KIKUBWA na kuweka katika UJI kikombe kimoja,
UJI ambao hauna SUKARI wa CHUMVI. 

lakini kabla ya kuanza tiba hii inakubi utanguliwe na unywaji dawa wa siku moja ambayo ni  SANAMAKI.
 chota ujazo wa  NGUMI yako kisha chemsa kwa maji  NUSU LITA 
halafu unywe mara mbili kwa siku moja.
 baada ya hapo ingia katika tiba  ILE YA MWANZO ukitumia kwa siku 7 hadi 21.

Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment