Twitter Facebook Feed

TIBA YA MTU MWENYE KUTEMBEWA NA VITU MWILINI


TIBA YA MTU MWENYE KUTEMBEWA NA VITU MWILINI


Maradhi haya ya kuwa unakaa na kuhisi vitu vinatembea mwilini kisha ukahisi wadudu mfano wa nyenyere, huwa ni miongoni aina ya uchawi na katika uchawi wenye kusumbua sana.
watu wanadhurika na uchawi huu ambapo mwisho wake kukufanya uwe mwenye kukosa kumbukumbu pamoja na mwili kufa ganzi.
kutibu kwake

TIBA YAKE 


TAFUTA  

MAFUTA YA  NYANGUMI

MAFUTA YA FIGIRI

kisha changanya pamoja,
halafu uwe unapakaa kwa SIKU 11 ASUBUHI NA JIONI
kisomo cha kusomewa ni YAASIN SAAQITW

DAWA YA KULA 

MJAAFAR 

KAMUN ASWAD

KWA MUDA WA SIKU 11

Ukiwa na tatizo lolote wasiliana na

Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 coll SMS
Tanga Pangan Tanzania

0 comments:

Post a Comment