KUKOSA USINGIZI
KUKOSA USINGIZI
Kukosa usingizi ni tatizo ambalo weng wetu tumewah lipitia mara moja moja katika maisha yetu
lakin kuna ambao hili ni tatizo amblo kwao limeweka makazi ya kudumu na kua ni ugonjwa
mtu mzima pumziko la usingizi ina kadiriwa kua masaa nane au saba kutegemeana na hali ya mtu
dalili zake mara nying hua kuumwa na kichwa mara kuangusha au kuvunja vitu kwa kukosa umakini kwa sababu ya ubongo kuchoka
SABABU ZA KUKOSA USINGIZI
KIAFYA
kuna baadhi ya madawa ukiyatumia yanasababisha hali ya kukosa usingizi mfano wake ni kama dawa za PUMU, Dawa za Allergy, maumivu ya uti wa mgongo, Dawa za Kusisimua misuli, Dawa za msongo wa mawazo, Dawa za pressure
Kuna aina nyingine ambazo pia huleta tatizo hili ambapo ukitumia unapoteza usingizi
KUNYWA KAHAWA, KUNYWA POMBE, UVUTAJ SIGARA UNENE HASWA KUA NA KITAMBI
Kula sana wakat wa usiku kunapelekea tumbo kufanya mmengenyo sana na kukukosesha usingiz haswa ulaji wa vitu vigumu kusagika mfano wa nyama
MATATIZO YA KISAIKOLOJIA
hofu juu ya mambo ya kaz au mahusiano na mengine hupelekea kukosa usingizi
mambo madogo madogo kama vile mwanga wa taa au mtaa wenye fujo kama mbwa disco na mengine
TIBA YA TATIZO
chukua maziwa na asali
changanya chemsha Maziwa fresh kikombe kimoja kisha changanya Asali vijiko viwili kwenye kikombe kimoja tumia na ulale baada ya dakika 20
Tumia biringanya katika kila mlo wako
kwa mwanaume alie oa bas ajitahid kufanya jimai maana baada ya jimai na mkeo kuna kemikal za usingizi hutoka ndo maana weng wakimaliza jimai hupata usingiz
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 coll SMS
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment