ASALAAM ALEYKUM
NJIA 8 NYEPESI YA KUONDOA NUKSI NYUMBANI KWAKO
1.KUMUOMBA M/MUNGU SANA
kumuomba m/mungu sana kwa imani yako itasaidia sana kufanya nyumba yako kuwa na nuru na nuksi kuondoka
2.CHOMA CHUMVI YA MAWE.
choma chumvi ya mawe nyumbani kwako na ktk vyumba pia huondoa sana nuksi katika nyumba,vyumba na s
ehemu ya bishara. ila hakikisha chumvi iwe imetokana na maji ya bahari
3.CHOMA UDI
hii ni njia iliyotumika sana na watu wa dini. udi huondoa nuksi na kuita malaika wema ndani ya nyumba
4.MAJI YA BAHARI
kupigia deki na maji ya bahari pia huondoa nuksi
5.KUEPUKA GIZA.
usipende nyumba yako kuwa na giza pia epuka vitu vyeusi kutawala nyumba yako.
6.crystals
kama una uwezo nunua mawe ya madini au crystals na weka ktk kona ya nyumba yako. penda sana crystal za kijani,nyeupe na blue
7.KUKARIBISHA WAGENI HASA WATOTO
kukaribisha wageni kwa kuwapikia ama kuwanywesha itu halali husaidia kuondoa nuksi nyumbani kwako
8.KUWASHA MISHUMAA
penda kuchoma mishumaa mitatu mieupe miwili na orange mmoja. inaaminika mishumaa ni njia kubwa ya kujitibu na kuondoa nuksi. mishumaa mieupe huleta nuru na ulinzi pia orange huondoa uadui mahara flani.
njia hii ya mishumaa hutumika sana na wazungu,wachina,wahindi na watu weupe wengi sana
ni vizuri unapochoma basi kutia nia zako kisha kufanya dua/maombi kwa imani yako vile
Ukiwa na shida yoyote karibu Tanga Tanzania
Dr Hamza
0654729438 coll,SMS WhatsApp
0746025804 coll,SMS
0655729439 coll,SMS WhatsApp.
Tanga Pangan Tanzania
0 comments:
Post a Comment