Twitter Facebook Feed

FAHAMU KUHUSIANA NA CHANGO LA UZAZI.

Asalaamu aleykum 

FAHAMU KUHUSIANA NA CHANGO LA UZAZI.

Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.

DALILI ZAKE

Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana.Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.Ni vigumu kumpa mimba mwanamke.
Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-

Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhiKuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoaSiku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilikaHujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhiKupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.Kuchukia kushiriki tendo la ndoaKupata uvimbe kwenye kizaziMimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi
Madhara yake kwa mwanamke

Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimbaMwanaamke anaweza kuwa tasa kabisaKuingia na kutoka kwa mimbaKuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni au kukosa ham ya tendo la ndowa kabisa

Ukiwa na matatizo kama aya karibu Tanga pangan

Dr Hamza
0654729438 coll,SMS WhatsApp
0746025804 coll,SMS 
0655729439 coll SMS  WhatsApp .
Tanga Pangan Tanzania

0 comments:

Post a Comment