JINI MAKATA
naye ni miongoni mwa majini wenye hila na shida sana.jini huyu ni miongoni mwa majini ambao husababisha mtu kuonekana kama hasikii vema,
Pia husababisha tatizo la
1) presha ya kushuka
2) kuanguka kifafa, ila kuanguka kwake tofauti anavyo anguka jini maiti.
makata hupenda kuwa na tabia ya VITISHO na kelele ya kuumiza masikio.
pia hupenda kujifanya MPIGA RAMLI na kutaja siri ya watu.
ni jini muhuni sana.
na akiwa amekuja kishari utamjua kwa kuangukia NYUMA na kuburuzika kimgongo mgongo, huwa hatembei KITUMBO TUMBO, akija kwa maigizo ya amani utaona anakuangalia kwa macho makali na haongei ila midomo inamtetema tuu.
jini huyu ni mtesaji sana kwani hunyonya sana damu mpaka unaweza kuta mtu anakonda na hospital haonekani ugonjwa.
nini ufanye ili kumtoa!!!
1) inabidi upate fusho chafu
2) upate na mafuta ya ufuta
3) mafuta ya tini
4) mafuta ya raihan
5) mafuta ya thaum
6) na mafuta ya huut {nyangumi}
changanya uwe unapakaa siku 29
kisomo DUAAU JIBRIL na KHAWAATIM siku 7
in shaa Allah mola atamponya mgonjwa
na ukiwa na jini mahaba aina ya MAKATA utashangaa jambo moja
mwanamke hushuka mapigo ima ikawa anazimia pindi unapo muingilia, pia unaweza kukuta uume hausimami au kusinyaa ghafla na kushindwa kuendelea na tendo nk
Ukisumbuliwa na uchawi au majin karibu
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 WhatsApp coll SMS
0746025804 coll,SMS
Tanga Pangan Tanzania
0 comments:
Post a Comment