DUA YA KUREJESHA KITU CHAKO KILICHOPOTEA AU KUIBIWA
Hii ni dua ambayo kama utaifanya kwa mujibu wa utaratibu wake unaotakiwa basi kama umepotelewa na kitu chako chochote ama umeibiwa kitu hicho kwa uwezo wa Allah[s.w]kitu hicho kitarejeshwa kwako katika mazingira ambayo hukuyategemea.
ILI UFANIKIWE KATIKA DUA HII ZINGATIA HAYA
>>Acha uvivu~kuna baadhi ya wasomaji wakiona idadi za kurudia ni nyingi anaingia uvivu moyoni mwake kwa kuona idadi ni nyingi za visomo husika.
>>Kubeza na kutoamini ~mwingine anaweza akabeza na kutoamini kuwa inawezekana halafu akataka afanye au afanyiwe hivyohvyo kama kujaribu tuu.
ukiwa ni miongoni mwao bora uache kwani utajisumbua tuu....................................................................................
HATUA ZA KUFUATA
>>Hakikisha unakuwa ni msafi wa mwili na mavazi na mahali unapofanyia dua hii tena utie udhu kamili kama unaenda kuswali.
>>Soma BISMILLAHI RRAHMAN RRAHIIM
>>Soma jina hili la Allah x119
[YAA H A FI YDHU]
Kisha soma aya hii kwa idadi hiyohiyo ya hapo juu x119
[qurani31:16] luqmaan
INNAHAA INTAKU MITHQAALA HABBAT MIN KHARDALI FATAKUN FIY SWAKHRAT AU FIY SSAMAAWAATI AU FIY L ARDHWI YAATI BIHAALLAHU INNA ALLAHA LATWIIFU KHABIYRUN X119...
Baada ya kumalza kusoma kwa idadi hizo hapo sasa muombe mungu akurejeshee kitu chako na bila shaka kama umeisoma kwa imani na yakini basi kitu hicho utakipata in shaa Allah
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439
0 comments:
Post a Comment