TIBA KWA MARADHI YOYOTE.
Asalaam aleykum
Abar za siku nyingi ni Dr Hamza Toka Tanga Naam ngoja niwape Dawa Kali ya maradhi.
Kama mtu atakua na maradhi ya aina yoyote yawe ya kurogwa au ya kawaida achukue maji safi aweke chumvi ya mawe kidogo katika maji hayo kisha, kisha asomee yasin x 7 kila akifika aya ya 58 inaye sema SALAAMUN QAULAN MIN RABBIR RAHIIMI arudie mara 7. hakika hili ni ponyo la uhakika kwa idhni ya Allah. maji hayo yatatumik kunywa 1 X 3 kwa mda wa siku 7.
Dr Hamza
0654729438 Whatsapp coll sms
0655729439 sms coll Whatsapp
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment