Twitter Facebook Feed

TIBA RAHISI KWA MWENYE DEGEDEGE

NYUNGU YA MTU MWENYE  DEGE DEGE

  UPATE DAWA HIZI

1. Vitunguu swaumu 
2.mavi ya tembo
3.majani ya mtura
4.kafuri maiti 
5.mwanga jini 
6. Mvuje 
7. Majani ya mdimu 
8. Majani ya mlimao
9. Kivumbasi
10. Majani ya muharaka

Nyungu hili anajifukiza mama na mtoto pamoja kwa muda wa siku tatu mara mbili kwa siku atapona inshaa Allah

Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment