Twitter Facebook Feed

IKIWA UMEITWA SEHEMU KUFANYA TIBA ILI KUJIKINGA NA MAADUI KWA MDA UTAKAOKUWA APO FANYA NJIA IZI MBILI

KUFUNGA UBAYA HAPO ULIPO

Utachukuwa yai viza na vitambaa aina 3 chekundu cheupe cheusi zungusha hivyo vitambaa katka yai viza chekundu juu cheupe katikati cheusi chini zungusha viwembe 7 na sindano 7 zika hapo nyumbani
 

                        AU
CHUKUA NDIMU 1 SINDANO 7 SINDANO 4 ZIELEKEE CHINI  SINDANO 3 ZIELEKE JUU ZIKA HIYO NDIMU.

Naam ilo ni zindiko la mda mfupi

Dr Hamza
0654729438 Whatsapp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment