Twitter Facebook Feed

JINSI YA KUMFUNGUA MTU VIFUNGO

*TIBA YA KUMFUNGUA MTU VIFUNGO*


UPATE NAZI MOJA UTOBOE UTIE DAWA HIZI

1, NYOTA 
2,KASERA 3,MINURA(KIVUMBASI)

HUYO MTEJA MWEKE CHINI AVAE NGUO NYEUPE UCHUKUE IYO NAZI UMUEKEE KICHWANI USOME ALMTARA 7 UKIMALIZA IVUNJE IYO NAZI HAPO KICHWANI

UKIMALIZA ILO KAFARA MPE DAWA HIZI AKAOGE
SIKU 7 MARA MBILI KWA SIKU

1, MPAPATIKO
2, MKUNDE KUNDE.
3, MVUMA NYUKI

DAWA HIZI ZIFUNGE KATIKA KITAMBAA CHEUPE TIA ICHO KIFURUSHI KATIKA NDOO YA MAJI KIWEMO UMO UMO ATAKUWA AKICHOTA HAYO MAJI NA KUOGA ALAFU ATIE MAJI MENGINE ATAFANYA IVYO MPAKA ILE SIKU YA 7 ATAKITOA ICHO KITAMBAA NA KWENDA NACHO NJIA PANDA NDIO AKIFUNGUE NA KUKIACHA HAPO HAPO.

Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment