*FINGO LA NYUMBA AU SHAMBA*
MAHITAJI
1.jogoo mwekundu
2. Mti wa mpingo
3. Kisokote cha kuni 4.Mgoto
5.Mdaa
6.Mlangamia (ndio kamba) 7.Kijungu kidogo{kitobolewe}
8. Mchanga wa ufukwe
JINSI YA KUTENGENEZA:
Hiyo mizizi yote ifungwe kwa pamoja na uwo mlangamia ndiyo kamba yakufungia alafu mchinje huyo jogoo damu itie katika icho kifurushi mpaka kitote damu.
Weka mchanga wa fungu hapo nyumbani katika kipembe cha mlango halafu weka hicho kifurushi cha mizizi juu ya huwo mchanga
Halafu funika hicho kijungu cha tundu.
Hiyo tundu iwe wazi nuilia utakavyo adui au mchawi au mwizi akija atoke damu sehemu zote na wala haopoki afe na atakufa kweli.
Ukitaka kumuopowa upate kondoo mweusi achinjwe achunwe hyo ngozi alalie hyo ngozi ivyo ivyo mbichi halafu muague na tunguri ya machawi ataopoka.
Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment