Twitter Facebook Feed

TIBA YA PUMU


(a)Njia rahisi ya kutibu Pumu
Tafuta simbi zaidi ya 20 zifanye kuwa unga kisha chukua ndimu nyingi na asali changanya kwa ujazo sawa Kunywa mchanganyiko huu kijiko 1 mara3 kwa siku hadi upone.AU kula vitunguu maji kwa wingi
(b) Njia ya pili tafuta Pembe ya mbuzi-kausha kisha usage na unga wake changanya na asali na ulambe mara 3 kwa siku adi upone.

Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 WhatsApp coll sms
Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment