Twitter Facebook Feed

DAWA YA KUFUNGUA HEDHI

DAWA YA KUFUNGUA HEDHI


assalamu alaikum, Leo nipeonelea kutoa mada hii maana tatizo hili linawakumba wanawake mbali mbali kwasababu mbali mbali ikiwemo

1. Hormone imbalanced
2. Utumiaji wa dawa za upangaji uzazi.
3. Matatizo ya kijini.
Na matatizo mengineo mengi tu. Kwa mtu mwenye tatizo kama hili ana takiwa kwanza ajue tatizo husika ndipo sasa apate tiba muafaka ili shida imuondokee. Ifuatayo ni tiba ya mtu mwenye tatizo kama hili kwa upande hormone imbalance :-

Chukua haltit kijiko kimoja, fulfil abyadh kijiko kimoja, siki kikombe cha chai na Maji Lita moja. Changanya vyote pamoja na iwe unakunywa nusu kikombe kutwa Mara mbili kwa mda wa siku 14.

Kwa tiba na ushauri usisite kuwasiliana nami kwa

Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangan Tanzania

0 comments:

Post a Comment