MAJINI AINA YA ZAWAABIL
MAJINI ZAWAABILI
Majini hawa husababisha maradhi yafananayo na ya kansa au mkanda wa jeshi.
Ni majini wapumbavu sana.
Na humuingia kwa wepesi mtu mwenye TABIA YA KUPENDA KUKAA WAZI MWILI WAKE AKITOKA KUOGA
Na akiwa ni JINI MAHABA aina hii hutopenda kusikia wala kukaa na mwenye kunuka jasho ila utakuwa mwenye kutema tema mate.
DALILI ZAKE
Mwili kuwasha sana
Ngozi kubabuka
Ngozi kuvuka kama gamba la nyoka
Mwili kuvimba na kuwaka moto
Mwili kuwa na midonda ya mapele
KUWAONDOA KWAKE
Kisomo cha KHAWAATIMU siku 11
Na dawa zakupakaa ni MRUTURUTU changanya na MAFUTA YA NYONYO au MAFUTA YA NDIMU pakaĆ siku 27
Dawa za kunywa ni MKUNAZI na SUFA NYEKUNDU siku 27
KWA MAWASILIANO ZAIDI YA TIBA NA KISOMO.
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment