DAWA YA HOMA YA MATUMBO
HOMA YA MATUMBO (TYPHOID FEVER)
ni maradhi mabaya tena yanakosesha raha na amani popote unapokuwa kutokana na adhabu inayokuwepo tumboni mwa mwenye kuumwa.
SABABU LA TATIZO HILI
Utumiaji vyakula visivyo vya moto au vilivyo poa kwa lugha nyepesi,
Unywaji wa maji yasiyo salama,
Kula kwa mikono michafu.
Sababu ni nyingi kwa kweli.
lakini pia ugonjwa huu ni wenye kutibika kwa haraka iwapo utatumia njia ya kujitibu kisuna, na kufuata maelekezo kamili.
DAWA ZA KUTUMIA
1)
HULBA YA UNGA [uwatu]
2)
SANAMAKI YA UNGA.
kisha changanya vyema halafu ukisha changanya utakuwa unachota ujazo wa kijiko kikubwa kimoja na kuweka katika uji mwepesi usio na sukari na kisha unywe asubuhi na jioni kwa siku 9. utapona kabisa in shaa Allah
Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment