Twitter Facebook Feed

DAWA KIFUA NA MAFUA SUGU( SEVERE COUGH AND FLU )

DAWA KIFUA NA MAFUA SUGU( SEVERE COUGH AND FLU )



Kuhusu ugonjwa wa kifua na mafua sugu, ni katika aina ya maradhi ambayo hufanya watu wapungue uchumi na utendaji katika kutafuta kipato cha halali
kwani ni maradhi yenye kuathiri sana
lakini kwa huruma ya Allah  akatupatia elimu yenye thamani ambayo ni elimu hii ya tiba

TIBA YA MARADHI HAYA


 chukua  

1)   ASALI ROBO

 2)  SIKI YA NDIMU ml 50

 3)  HALMITI kijiko kimoja kisha isage

halafu changanya,baada ya kuchanganya vema.
Utakuwa unakula kijiko kikubwa kutwa mara tatu. 
kama ni mtoto atakula kijiko kidogo kutwa mara tatu
muda wa  siku 7 unatosha sana kuondosha ugonjwa huu wa mafua sugu na kifua sugu.

Dr Hamza
0654729438 whatsapp coll sms
0655729439 sms coll
Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment