UTAJUAJE KAMA UMEINGIWA NA JINI CHEKETU?
Hizi ni baadhi ya dalili muhimu za mtu ambaye ameingiwa na jini wa cheketu
(1)kila uamkapo mwili unauma bila sababu
(2)kila unapokaa au kutembea unahisi unafuatwa na kivuli cha mtu
(3)Kila ufikapo usiku huwa unalala kupita kiasi
(4)Mwili kuchoka saana bila kufanya kazi yoyote
(5)kifua kubana
(6 )mbavu kuuma
hapo juu nimekueleza kuwa pia jini huyu hushirikiana na wanga kukupiga chale mwilini mwako ambazo huwa kama alama kwao ngoja nikugusie kidogo .
AINA ZA CHALE ZA WANGA
1.chale za wanga wanaotaka kukufanya msukule
2.chale za kukukaribisha kwenye vikao vyao vya kichawi
3.chale za kukujulisha kwa wachawi kuwa wazazi/wazee wako wewe pia ni wachawi
4.chale za kuiba kivuli chako kitumike kwenye uchawi uonekane wewe mchawi
5.chale za mchawi mwenyewe zinamjulisha kwa wachawi wenzie kuwa ni mwenzao
WACHAWI WAKIKUPIGA CHALE ZAO JUA YA KWAMBA CHALE HIZO ZINA MAANA YEKE WALIYOKUSUDIA KIUJUMLA
(1)Mambo yako kuwa magumu
(2)kujikuta umekatwa katwa mwilini wakati jana ulipoenda kulala ulikuwa safi
(2)kila ikifikaa saa 7mpaka 8usiku lazima ushituke
(3)utasingiziwa unawaroga watu mtaani kwenu
(4)utachukiwa na kuambiwa unaringa wakati kiuhalisia haupo hivyo
ukiona hivyo jua kwamba wanga wamekupiga chale ambazo huwa kama muhuri popote uendapo utajulikana kwa chale hizo
Kama unasumbuliwa na ndoto mbaya, wachawi, wanga, biashara haiendi vizuri, ondoa shaka.
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll sms
0655729439 coll sms
Tanga Pangani Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment