Twitter Facebook Feed

TIBA YA SARATANI NA TEZI DUME

ASALAAM ALEYKUM

MAJANI YA MSTAFELI NI TIBA YA SARATANI NA TEZI DUME  NA MARAHI  MENGI SANA


Majani ya mti wa mstafeli yamekuwa yakitumika na watu kwenye misitu ya amazon kwa maelfu ya miaka iliyopita kutibu karibu kila ugonjwa. Ndiyo hii inaweza kuwa ni habari mpya kwako hasa kama wewe siyo mfuatiliaji wa mambo haya ya tiba asili kwa ujumla lakini sasa habari unayo.

Mti huu wa mstaferi ndiyo tiba asili pekee inazungumziwa sana na watu wote duniani kwa sasa kuhusu maajabu yake ya kutibu saratani mbalimbali ikiwemo saratani ya tezi dume.

Na hiyo yote ni kwa sababu nzuri tu ….

Majani ya mti wa mstafeli yanaziua seli za saratani mara 10000 zaidi ya mionzi. Na jambo la ajabu zaidi ni kuwa dawa hii haizidhuru seli hata kidogo tofauti na tiba ya mionzi ambayo inaziua mpaka seli nyingine zenye afya wakati wa matibabu yake.

Yaani dawa hii ya majani ya mstafeli huziwinda seli za kansa na kuziua huku ikikuachia seli zako zenye afya bora zaidi. Kama haitoshi majani ya mstafeli yanaongeza pia idadi na uwingi wa seli zako nyeupe za damu na kuongeza kinga ya mwili kwa haraka sana.

Juisi ya tunda la mti huu hutumika kutibu Ukoma (leprosy)

Majani haya yamethibitika siyo kutibu saratani au kansa ya tezi dume bali na aina nyingine za saratani zaidi ya 12 ambazo ni pamoja na:

1. Saratani ya damu
2. Saratani ya matiti
3. Saratani ya mlango wa kizazi
4. Saratani ya mapafu
5. Saratani ya ini
6. Saratani ya mdomo
7. Saratani ya kwenye ulimi
8. Saratani ya kongosho
9. Saratani ya kwenye mji wa uzazi
10. Na sratani nyingine nyingi

Majani ya mstafeli ni dawa nzuri dhidi ya bakteria na fangasi mbalimbali mwilini na hivyo ni kinga dhidi ya maambukizi ya kila namna.

Majani ya mstafeli yanatibu pia:

Kisukari

Gout (maumivu ya jongo)

Maumivu ya mgongo

Yanaongeza kinga ya mwili

Yanaimarisha afya ya tumbo kwa ujumla

Kufunga choo

Msongo wa mawazo (stress)

Yanaimarisha afya ya nywele

Yanaimarisha afya kwenye mfumo wa upumuwaji

Yanaongeza afya ya ngozi

Mazuri kwa afya ya moyo

Yanadhibiti homa na kutuliza joto la mwili

Dawa nzuri kwa matatizo mengi ya uzazi

Huongeza stamina ya mwili na kurahisisha kupona haraka unapokuwa mgonjwa

Hutibu jipu na vivimbe

Hudhibiti ukuwaji wa bakteria, virusi, vijidudu nyemelezi na uvimbe

Ni tiba ya asili ya maumivu ya mishipa, yasage majani yake mpaka yalainike kabisa kisha paka taratibu eneo la mshipa lililo na maumivu mara 2 kwa siku

Dawa kubwa ya saratani ambayo watu wengi hawaifahamu …

Kuna wakati namtafakari Mungu na nashindwa kupata majibu kwamba kuna wakati watu wanateseka sana lakini bila sababu yoyote maalumu zaidi ya kukosa tu maarifa.

Kile nitakushangaza kidogo hapa ni kuwa uwezo huu wa majani ya mstafeli kutibu kansa uligundulika tangu mwaka 1976 na taasisi ya saratani ya Marekani lakini matokeo yake hayajawahi kuwekwa hadharani kwa watu!

Kwanini hawakutaka kutangaza kwa watu?

Hakuna mtu anayejuwa kwa hakika sababu ni nini iliyowafanya wabaki na matokeo hayo bila kutangaza kwa watu. Hata hivyo wengi wanaamini ni kutokana na vipimo na matibabu ya ugonjwa huu kuwa ni dili kubwa kwa viwanda vya madawa na biashara kubwa kote duniani.

Sababu kuweza kutibu ugonjwa mkubwa hivyo (kwa mjibu wa maoni yao) kwa kutumia mmea rahisi hivyo kupatikana ni jambo lisilo na faida. Matatizo mengi ya binadamu chanzo chake kikuu cha matatizo hayo ni hela.

Pamoja na hayo Mungu yupo na hatatuacha watu wote tuangamie kijinga hivyo. Wachache atatuokoa tu kwa namna yoyote. Hivyo watu wengi tayari wameanza kugeuka upande huu wa pili na tayari wanaona faida zake.

Utatumiaje majani ya mstafeli kama dawa?

Namna nzuri zaidi na ili kujihakikishia unapata faida zake kwa kiwango cha juu kabisa ni kutumia juisi freshi ya majani haya.

Unachohitaji ni kuwa na blenda ya umeme, maji na majani mabichi ya mstafeli.

Tengeneza juisi yako tuseme majani  12 unaweza kutengeneza juisi vikombe viwili (nusu lita) na unywe kikombe kimoja (robo lita) kutwa mara 2 kila nusu saa kabla ya chakula cha asubuhi na cha jioni kwa mwezi mmoja mpaka miwili hata mitatu kama tatizo lilikuwa limedumu miaka mingi.

                                   AU

Chukua majani Kilo 1 halafu yasage vizuri kabisa kisha weka maji Lita 5 koroga vizuri, Hifadhi kwenye Friji(Jokofu) ili isiharibike. Mgonjwa anywe kikombe cha chai kutwa mara 2 au mara 3 kulingana na nafasi yake.

Tengeneza chai kutokana na majani freshi ya mstafeli na unywe kikombe kimoja kutwa mara 3 kwa mwezi mmoja. Inashauriwa hiyo chai unywe nusu saa kabla ya chakula cha asubuhi, mchana na jioni.

Kama hutaweza kupata majani freshi ya mti wa mstafeli unaweza kutumia majani makavu ya mti huu yaliyo katika mfumo wa unga kwenye maduka ya dawa za asili sehemu nyingi hapa Tanzania.

Kwenye hiyo chai ya majani ya mstafeli ndani yake weka vitu hivi pekee; maji ya chai, majani ya mstafeli na asali au sukari, usiongeze majani mengine ya chai humo. Pia inashauriwa utengeneze chai ya kutosha kuitumia kutwa nzima yaani uchemshe vikombe vitatu kwa wakati mmoja na uinywe kikombe kimoja kutwa mara tatu

Ni dawa nzuri kwa kansa karibu zote pia inaondoa uvimbe wa aina yoyote.

KAWA WAITAJI DAWA NILOIYANDAA TEARI KARIBU TANGA

Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 coll SMS
Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment