Twitter Facebook Feed

CHUMA ULETE NI NINI

CHUMA ULETE NI NINI

Chuma ulete ni aina ya uchawi ambao hutumiwa na Wanga au Wachawi kwa lengo la kupata faida ya pesa kutoka katika mauzo ya watu wengine. Uchawi huu ni maarufu sana karibu kila kona ambapo huwa na shughuli za kibiashara kwani hapo ndipo pesa inapopatikana kirahisi.

Uchawi huu wa chuma ulete umegawanyika sehemu kuu tatu(3) kulingana na nguvu ya mtumiaji. Kwani ifahamike kwamba mwanga anaweza kuutumia uchawi lakini hawezi kuutengeneza uchawi.

Lakini unaposikia mtu mchawi tambua kwamba huyu ni mtu anaeujua uchawi na anaweza kuutengeneza uchawi kulingana na kiwango anachokijua na anaweza kuutumia uchawi huo atakao utengeneza.

AINA ZA UCHAWI WA CHUMA ULETE.

(1) PAKUZI :- Aina hii ya chuma ulete ndio aina mbaya zaidi katika aina za chuma ulete. mchawi anakuja nao katika biashara yako ama eneo linalofanyika shughuli za kuuza na kununua ama kuuza peke yake.

Mchawi huyo huja pasi na hela ya kununulia bidhaa yoyote hubeba tu uchawi wake ambao anauweka chini ya ulimi na kukusemesha unapomjibu tu basi wewe muuzaji hapohapo hughaibika/kupoteza kumbukumbu zako zote za kujielewa na kukumbuka unachokifanya na badala yake mtu hufanya anavyo amrishwa kufanya pasi na mwenyewe kujijua.

Hapo huwa anakuwa na jini wake wa kichawi pembeni ambaye hufanya kazi mbili.

(1). kukupulizia upepo wa kukupumbaza.

(i). kupokea vitu vyote vinavyotolewa na muuzaji.

Huwa ana kuachia athari hiyo kwa muda mbaka pale mda unapo kuwa umepita ndipo haliyako hukaa sawa.

(2). MAGNETIC FILLED
Aina hii ya pili mchawi huja katika eneo analotaka kufanya wizi wake akiwa na pesa ya kichawi ambayo hukupatia na kubeba bidhaa zake na kuondoka na pesa hiyo inapo changanywa na pesa nyinginem ndipo hupungua hela zako na kuhamia kwake baadhi na kiasi kubakia.

(3). KIPUKUSA
Aina hii ya chuma ulete si lazima kutumika masokoni ama sehemu ya kibiashara Bali aina hii mchawi hujifanya kama mnasalimiana na kukupa mkono aliopaka uchawi wake na wewe kama unahela utaingiwa na tamaa ya kutumia pesa hiyo hovyo hata kwa kitu cha kijinga na baada ya muda ukijikagua unakuta hamna baadhi ya pesa ama zote kulingana na pesa ulio nayo na kuanza kujihisi kama umepoteza kwa kudondosha.

DALILI ZA MWENYE KUFANYIWA CHUMA ULETE

(1). Kufanya buashara na lakini mwishoni ukifanya hesabu hukuta hasara badala ya faida.

(2). Kuuza bidhaa kidogo lakini huona zimepungua kwa kiasi kikubwa.

(3). kujihisi ghafla umepoteza pesa kabla hata hujaiangalia na ukihakiki unakuta hasara.

(4). kuzidisha msingi lakini kila siku hupata hasara inayo fanana.

(5). kusikia usingizi mkali ghafla au baada ya kumuudumia mtu.

NAMNA YA KUZUIA CHUMA ULETE

(1). Fanya dua mwonzoni kabisa kabla ya kupanga biashara yako.

Ama kama ulisha chelewa umeshahamia basi fanya dua na kumwaga dawa za kuua uchawi wa kuouliziwa na wala si kumwaga dawa za uchawi wa kufukiwa hapo kuwa makini.

(2Weka kinga mahala unapo weka fedha hizo.

(3)weka kinga katika eneo lako la Biashara, hapo itategemea na wewe mwenyewe unayo itaka ni kinga ya aina gani na endapo anapokuja chuma ulete aweze kufanya haya :

(A). akija aropoke tu.

(B). ashindwe kuondoka na mzigo.

(C). apige makelele kama mtu kichaa.

(D). asije kabisaa.

Chuma ulete huwa kuzuilika na wasiweze kuchukua pesa zako na kila kitu kikawa sawa na kila aina INA utengenezaji wake .

Kwa msaada zaidi wasiliana na

(1). Fanya tiba maalum sambamba na dua mwanzoni kabisa kabla ya kupanga biashara yako.

Ama kama ulisha chelewa umeshahamia basi fanya dua na kumwaga dawa za kuua uchawi wa kuouliziwa na wala si kumwaga dawa za uchawi wa kufukiwa hapo kuwa makini.

(2Weka kinga mahala unapo weka fedha hizo.

(3)weka kinga katika eneo lako la Biashara, hapo itategemea na wewe mwenyewe unayo itaka ni kinga ya aina gani na endapo anapokuja chuma ulete aweze kufanya haya :

(A). akija aropoke tu.

(B). ashindwe kuondoka na mzigo.

(C). apige makelele kama mtu kichaa.

(D). asije kabisaa.

Chuma ulete huwa kuzuilika na wasiweze kuchukua pesa zako na kila kitu kikawa sawa na kila aina INA utengenezaji wake .

Kwa msaada zaidi wasiliana na

Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 coll SMS
Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment