Twitter Facebook Feed

UFAHAMU MVUTO WA BAHATI

Asalaam aleykum

UFAHAMU MVUTO WA BAHATI.

Mvuto unao mfanya mtu watu kumpenda,kumjali,kumsikiliza,na kumheshimu.

Mtu huyo anaweza asiwe na sura nzuri ama shepu nzuri wala maneno yenye mpangilio wa kueleweka lakini watu watampenda,kumjali,kumheshimu,na kumthamini kwa kiasi kikubwa kuliko mtu mwingine.

Mtu anaweza kuwa na nyota nzuri hana nuksi na wala hana kifungo lakini bado akawa hana mvuto wa bahati kwa watu.

mtu anaweza akawa mzuri(mrembo) lakini akawa bado hapendezi wala havutii kwa watu.

mtu anaweza akawa hana muonekano(shepu)nzuri lakini bado akaonekana na kuvutia kwa watu na kupendwa na kupapatikiwa.

MVUTO wa bahati kwa mtu huja pale ambapo mtu anakuwa hana kifungo,na nyota yake ipo safi haina tatizo ndipo huweza kupata mvuto.

KAZI ZA MVUTO WA BAHATI.
1.humfanya mtu kuweza kukidhiwa haja zake kwa watu.

2.kupendwa na watu wenye hadhi.

3.kuweza kuuza vitu kwa urahisi.

4.kuvuta wapenzi.

5.kuwa na nguvu ya kuvuta wateja mahala kwenye biashara.

6.kuleta ushindi katika ushindani.

7.watu kuku furahia.

8.kupandishwa cheo kazini.

9.kuweza kufanya mambo magumu katika mazingira mepesi.

10.kuweza kushawishi watu katika jambo.

11.kusikilizwa na watu wa maana na hata wa kawaida.

SABABU ZA KUKOSA MVUTO WA BAHATI:

1.kifungo.

2.Nuksi.

3.Machawi.

4.Majini wachafu.

5.kufungwa kwa nyota.

DALILI ZA MTU ASIYE KUWA NA MVUTO WA BAHATI.

1.Huwezi kufanya biashara na ikatoka kwa wepesi.

2.huwezi kupata ushawishi mkubwa wa watu.

3.Huwezi kuwa na mvuto wa kimapenzi.

4.Kuto weza kupata ushindi katika ushindani.

5.Huwezi kupandishwa cheo.

6.Kuzorota kwa biashara.

VIPI MTU HUWEZA KUPATA MVUTO WA BAHATI?

Kwa mtu ambaye hana kifungo, wala hana uchawi, majini wachafu,wala nuksi.

Mtu huyo atatakiwa kuoga dawa kuanzia siku ya nyota yake na siku ya nyota ya utukufu wake/cheo chake.

Hufanyiwa kazi maalum viki ambatana na visomo inshallah kwa tiba mujarrabu za kisunna na visomo wa wasiliana na MADAWA

Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 coll SMS

Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment